Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Hili halitaisha salama, yupo atakayeumia tu.

Fikiria kama huyo binti atapata sonona na mfadhaiko kisha akaamua kujiua, ni nani tutamlaumu?.

Mkumbuke pia Cyber bulling ni crime wajuba.
 
uyo binti anaingiaje hapo kwenye makosa ya baba yake?
unadhani wazazi na ndugu ya watu waliotekwa wanajisikiaje ......hio ndo gharama anayolipia huyo jamaa hamna kingine kila kitu kina gharama yake haiwezekani uwe unasoma kwa kodi za haohao unaowafanyia unyama alafu mda wa kulipa gharama kuwepo na compromises
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…