Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Unaongelea mbinguni..muulize watoto na ndugu zake wako salama vipi kwa kazi hizi anazofanya? Binadamu mwenye akili ya kawaida kabisa ukimtoa Mungu wanaofuatia kwenye umuhimu ni watoto na wazazi..inakuwaje huwezi tambua matendo yako yana direct connection na future ya unaoamini ndio wanakufanya unahangaika wapate maisha mazuri?
Kuna watoto wanaumwa mauza uza hata sisi waganga tunashindwa kuwatibu pamoja na majini yetu tunayotumia.
Kumbe wengine ni laana za Baba zao.

Wanasoma shule za gharama na kula maisha mazuri yanayotoka na kazi chafu za wazazi wao.
 
wakuu wa nchi wanaowatumia watu kuua watu wanaowakosoa, wakuu hawa hawawezi kupata usingizi,kwajili ya damu za waliouawa na hofu ya kuwadhibiti wale wanaowatuma kuua.
mtu kama huyu watamuweka wapi ili alidhike?
kama hata hao wanaomtuma wanamuogopa sasa.

ila police nao mifumo yao..!!
mtu kama huyu keshafanya hayo yote kwasababu ya kupenda sifa na kujiona kua yeye ni muhimu sana na pekee kwenye ulinzi wataifa na kujiona hakuna kamanda kama yeye.wanashindwa nini kumpa kazi inayoendana na sifa zake hata huko nje na wakampunzishe hukohuko. mtu mmoja mdogo anawapa hofu timu nzima na manyotanyota yao.kuna siku ataua hadi wapwa zao ndio.wataamka.
 
Kwanza kwenye hizo nyadhifa wamejazana vikofia tu
Hii nchi sijui tunaongozwa na majini
 
IMG_20241008_075233.jpg

Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.

Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.

Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?

Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?

Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?

NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
 
View attachment 3120462

Na wewe umetumwa na nani kuja na hii post?
 
Endelea ku share hii post kama hivyo ili iwafikie watu wengi zaidi
 
Back
Top Bottom