antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh,Shahidi Mwingine alisema alifungwa tofari sehemu za siri kwa amri ya Mafwele
Huyo Mafwele ni mnyama katili balaa. Sehemu delicate zile kuning'iniza uzito wa tofali si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,Shahidi Mwingine alisema alifungwa tofari sehemu za siri kwa amri ya Mafwele
Kwanini?Hii ngoma ngoja sahv niwe mtazamaji
Ova
MkereweHuyo mafwele ni kabila gani
Siyo kununua cheti basi hilo jina ni la KIJITA.Mwenye CV ya huyu muuaji mafwele aitume.Maana yawezekana ni ligonjwa la akili.
Ooh okay huyu ushirikina anaujua..!Mkerewe
Litaakiwa lichawiMkerewe
Hilo jina ni la KIJITA,labda useme kuwa ni MJITA wa UK.Wakerewe wengi baadhi Yao ni watu wa usalama mfano hata yule aliyekuwa bodigadi wa Magu
Sio litakuwa lichawi ni lichawi bobevuLitaakiwa lichawi
Kuna watoto wanaumwa mauza uza hata sisi waganga tunashindwa kuwatibu pamoja na majini yetu tunayotumia.Unaongelea mbinguni..muulize watoto na ndugu zake wako salama vipi kwa kazi hizi anazofanya? Binadamu mwenye akili ya kawaida kabisa ukimtoa Mungu wanaofuatia kwenye umuhimu ni watoto na wazazi..inakuwaje huwezi tambua matendo yako yana direct connection na future ya unaoamini ndio wanakufanya unahangaika wapate maisha mazuri?
Na wewe umetumwa na nani kuja na hii post?View attachment 3120462
Huyu kijana simfatilii uko twitter kabisa ila story yake ya kutekwa ninaifahamu.
Nilichostuka ni kukutana na post yake Instagram ikiwa imelipiwa kama tangazo ili iweze kuwafikia watu wengi.
Nikajiuliza huyu kijana jobless aliyetoka kuchangiwa matibabu anapata wapi pesa za kurusha matangazo Instagram?
Yeye ananufaika nini na post kama hizi zikienda viral?
Mimi sijamfollow Instagram ila amelazimsha nikutane na post yake kwa kuwa kalipia mapesa mengi lengo ni watu kama sisi tusio mfollow tuone post zake.
Mambo ya kulipia matangazo tunayaona kwa wafanyabiashara sababu wanategemea kupata faida sasa huyu anafaidika nini?
NANI YUPO NYUMA YA SATIVA?
Endelea ku share hii post kama hivyo ili iwafikie watu wengi zaidiView attachment 3120462