Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Nitamheshimu kama ataibua ukweli wa Mungu yanayoendelea na itamjengea heshima sana. Boi siyo kama wala wanafiki wanaokimbia kwa visingizio.Boni Yai ni miongoni mwa watu ambao briking nyuzi zake huwaga zina mshindo flan .ngoja tuone na tusikie yatakayojiri.Ile kesi ni lini jamani tukumbushane na masharti ya uhudhuriaji na ile mitego
Kwani we umekufa?Mngekuwa na Hekima msingeua Watanganyika
Chadema kimeshakufaWakusanya taarifa wako tangu CHADEMA iundwe na wameshindwa kuimaliza. Hakuna jambo jipya au siri ambayo CHADEMA inajadili kwenye vikao zaidi ya shida za wananchi na ufisadi wa CCM na serikali yake. Ujinga wa CCM ni kudhani wanaweza ku-ignore uwajibikaji kwa wananchi na ku-deal na CHADEMA na wakabaki salama.
Kama kimekufa huu mhaho wako unatokana na nini?Chadema kimeshakufa
Umeongea kiufundi Sana!Wakusanya taarifa wako tangu CHADEMA iundwe na wameshindwa kuimaliza. Hakuna jambo jipya au siri ambayo CHADEMA inajadili kwenye vikao zaidi ya shida za wananchi na ufisadi wa CCM na serikali yake. Ujinga wa CCM ni kudhani wanaweza ku-ignore uwajibikaji kwa wananchi na ku-deal na CHADEMA na wakabaki salama.
Bila CCM kuelewa tatizo hasa la Tanzania ni nini, hakuna chama cha upinzani kitakufa. CCM na wewe mnadhani tatizo la kikwazo cha CCM kuongoza kwa ufanisi ni CHADEMA wakati kikwazo halisi ni incompetence ya CCM yenyewe.Chadema kimeshakufa
Na atawakana,Boni hawezi hama chademaKwenye hiyo press akiwakana Wajinga 55 na kusema yeye hatoki CHADEMA huoni kuwa utaumia sana?
Link !??MBINGU ZIMENIRUHUSU KUSEMA
Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye ibada ya Sabato ya leo nimesikia sauti ya ujumbe wa Mungu ikisema;
"Fili mi loqui ad salvandum populum meum"
(Mwanangu zungumza watu wangu wapone..)
Hivyo kesho, Jumapili, saa 6 :00 mchana, natarajia kuzungumza na viongozi wa CHADEMA Kanda ya Pwani pamoja na vyombo vya habari kuhusu hali ya siasa ndani ya chama na nje ya chama.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa. Mkutano utakuwa mubashara (live) kupitia akaunti za mitandao ya kijamii na YouTube pia.
"Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana." - Ayubu 12:22
Wakiondoka tunachukua nafasi kuziba mapengo!Bado hamjasema, Mnyika on the way
Wakiondoka tunachukua nafasi kuziba mapengo!Bado hamjasema, Mnyika on the way