Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Lala ukiamka utakuta nimekujibu.
Ulale salama.
 
So hapo mtu anafail kwa kukata tamaa na sio kwa sababu ya elimu ya darasani.
 
Part ya emotions at working plaace/business ilikuwa ignored kidogo lakin recently imefanywa serious. Angalia kazi ya Drs. Travis Bradberry inayoitwa Emotional intelligence. Kipindi cha nyuma walikuwa hawaendi deep sana kwenye emotion. Ukiangalia kazi za Benjamin Grahm alielezea emotion but not that deep.
So bado formal educational ni muhimu.
 
Kwa ufupi mwandishi wa hicho kitabu amejaribu kuwa shauri wanawake wenzake wasiwe cheap. hivyo akawa anawapa mbinu na kujarubu kuwaelekeza jinsi ya kukwepa mitego yetu.
Mwanamke kutegemea pussy ni kuwa cheap.

Ni ku cheapen uwezo wake wa kujikwamua kutoka kutumia akili yake na uwezo wake wote, na ku concentrate kwenye pussy.

Ironically.
 
Hivi vitabu vingi huwa vinaandikwa kwa kuangalia mazingira ya ughaibuni, ukivisoma mazingira ya Tanzania ni muhimu kukumbuka hilo.

Za kuambiwa changanya na zako.

Ama sivyo utaambiwa wekeza kwenye stock market wakati Tanzania hakunanstock market ya maana.
 
Mwanamke kutegemea pussy ni kuwa cheap.

Ni ku cheapen uwezo wake wa kujikwamua kutoka kutumia akili yake na uwezo wake wote, na ku concentrate kwenye pussy.

Ironically.
Hili ndio tatizo la kusoma comments uka comment. can you read the book and then come back here to comment
 
Hii ipo kwenye How To Get A Woman To Pay You?
 
Jamani Mimi napenda kupika na kufanya biashara ndogondogo! Ni vitabu gani ambavyo naweza kusoma vikanisaidia.
Kingine...nna hasira za karibu saanaaaa! Naombeni jina au hata link ya kitabu kitakachonisaidia nisiwe na hasira! Ahsanteni
 
Hili ndio tatizo la kusoma comments uka comment. can you read the book and then come back here to comment
I have 1200 books on my list.

Why should I read this?

Surely you can show my ignorance regarding the book by putting some quotes here.

The central theme of the book is flawed, in that it reduces women empowerment to prostitution.

That itself is cheapening a noble ideal to a base, grotesque and mundane settling down to the lowest common denominator.

Even bitches, and I use that word in its proper and original meaning, female dogs, know the power of the so called pussy.

Women ought to aspire to use more than natural reflexes in their empowerment.

Lest they devolve into spineless earthworms.
 

Viko sita mkuu. A Game of Thrones, A Clash of Kings, A Feast for Crows( 2 parts), A Dance With Dragons na The Wind of Winter. Ukisoma kabla ya kuangalia nadhani inapendeza zaidi sema producers walistukia hii kitu.Maybe walimbana huyu author hivyo utokaji wa hivi vitabu ukawa mgumu kidogo mpaka series zimeisha.
Ni fantasy nzuri yenye ubunifu mkubwa with unlimited imagination unazoweza kuzioanisha na ulimwengu wa leo especially when it comes to political and economic powers.
 
1. ESSENTIAL TORT LAW.
Hiki kitabu kinaongelea sheria ya madhara pamoja na fidia unayoweza kwenda mahakamani kudai kutokana na madhara uliyosababishiwa na mtu fulani katika jamii yako. Mafano, Umenunua soda mwisho wa siku ndani ya soda ukakuta kuna mende na huyo mende akakuletea madhara una haki ya kwenda kushitaki mahakamani kudai fidia.


Katika nchi zilizoendelea mfano England, sheria ya madhara inaenda mbali zaidi mpaka inatoa mwanya kwa watoto kuwashitaki wazazi wao kwa madhara wapatayo hao watoto kutokana na uzembe wa wazazi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…