Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".
Professor Harari namkubali sana.
Big Data Is Watching You!!
Vitabu vyake nimevipigia saluti vinatisha..Yupo vyema.
21 Lessons nilifurahi sana pale alipogusa Wayudi katika historia ya Ulimwengu.
Mimi ni moja wapo ya Watu Waliokuwa Wanaitafuta historia ya Wayahudi Jews & Israel.
Toka shule ya msingi Nimekuwa nikisikiliza habari za VOA Swahili & DW Swahili kuhusu Israel Palestina mgogoro mashariki ya kati,
Huku Sunday school & Commono tukipata habari ya Wanawaisrael Bible.
Nifanikiwa kipitia walau The Protocol of the elder of zion
😛ropaganda Juu ya Wayaudi kiutawala dunia.. &
The Jewish revolution kilichoandikwa na Mwanajeshi Israeli Eldad & mzee wa Josephus Problem bwana Flavious Josephus The Antiquities of Jews.
Noah anasema Baada ya Homosapiens Wayahudi wengi walimuuliza vipi mbona hajawagusa katika historia ya Ulimwengu.
21 Lessons,Noah anasema Jews & Judaism wanamchango mdogo sana katika historia ya Ulimwengu.
Noah anaelezea kwa Upana,Ufasaha, kuchangamsha Ubongo & kwa lugha inayoeleweka hata watu wenye vichwa vizito kama Mimi.
Noah alinifikirisha hapa sana
"Si kwamba sisi tunauwezo mkubwa sana kuliko Binadamu waliopita Kwa Maendeleo ya sasa Ulimwenguni bali tumeweza kukakaa na kufanya mambo/vitu kwa Umoja zaiidi".
Kuna siku nilipata kutazama Aljazeera Interview yake jamaa si katika Uandishi tu anaeleweka vyema hata Mubashara yuko vyema sana,
Akanikumbusha jamaa mmoja alimsema Christopher Hitchens(Namkubali Pia) kwamba ni great writer but ni horrible Debater..