Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Currently devouring "The Last Man Who Knew Everything: The Life and Times of Enrico Fermi, Father of the Nuclear Age. "

A6D9FA83-DB34-4D72-9C3BBFB76357A320_source.jpg

David N. Schwartz talks about his latest book, The Last Man Who Knew Everything: The Life and Times of Enrico Fermi, Father of the Nuclear Age.

 
Wakuu naomba mnisaidie kudadavua hio dhana nimekutana wakati nasoma kitabu cha CEO wa MICROSOFT "HIT REFRESH)

Katika sehemu ya kwanza anasema kuwa kuna wakati taasisi huwa inakua na kuishia mwisho na anatoa mfano wa Microsoft wao walikua na lengo la walau kila mtu awe na PC nyumbani mwake.

Hilo lengo likatimia baadaya ya hapo wakatulia, ndio kusema hawakua na cause tena? Anaenda na kusema hata facebook watafika sehemu watatulia kwa maana hawata grow bali watakua wanarun FB kama kamapuni tuu isiyo na ubunifu ( nilivo muelewa)

Sasa najiuliza haya yalikua maoni yake au kunadhana inayoonesha kuwa taasisi au mtu akifika sehemu huwa hawezi kua tena? Kama hili lina ukweli, kwanini taasisi zisije na plan kuhakikisha hawatulia kama wao walivyo settle mwanzoni mwa miaka ya 2000?

Nawasilisha.
 
Nimesoma vitabu vitabu 70 mwaka huu namshukulu mungu.march to may nilipata mda kidogo nilisoma vitabu vingi sana.saivi nasoma NoahView attachment 1277341
Leaders are readers and readers are leaders
Noah Harari,

Moja Ya Waandishi bora kabisa Kwangu Mimi...

Upitiee na Homo Deus kipo vizuri..

Lakini utamu utaupata zaiidi kama Ukivisoma vitabu vyake kwa Mpangilio...yaani.

Homo sapiens,
Homo Deus, &
21 Lessons -21 Century..
 
Dead Aid author Ndambisa Moyo it enlighten of the world going
Huyu mwanamama Nampa heshima yake..

Kilinifungua kwa kiasi kuhusu Africa na Misaada & Mikopo World bank & Imf na Uchina.

Pamoja na mapungufu ya Africa(Viongozi,raia) aliwakandia kiaina Watu wa dunia ya kwanza.
 
Nimekisoma hiki, nimevisoma vitabu vyake vingine pia "Sapiens: A Brief History of Humankind" na "Homo Deus: A Brief History of Tomorrow".

Professor Harari namkubali sana.
Big Data Is Watching You!!


Vitabu vyake nimevipigia saluti vinatisha..Yupo vyema.

21 Lessons nilifurahi sana pale alipogusa Wayudi katika historia ya Ulimwengu.

Mimi ni moja wapo ya Watu Waliokuwa Wanaitafuta historia ya Wayahudi Jews & Israel.

Toka shule ya msingi Nimekuwa nikisikiliza habari za VOA Swahili & DW Swahili kuhusu Israel Palestina mgogoro mashariki ya kati,

Huku Sunday school & Commono tukipata habari ya Wanawaisrael Bible.

Nifanikiwa kipitia walau The Protocol of the elder of zion😛ropaganda Juu ya Wayaudi kiutawala dunia.. &
The Jewish revolution kilichoandikwa na Mwanajeshi Israeli Eldad & mzee wa Josephus Problem bwana Flavious Josephus The Antiquities of Jews.

Noah anasema Baada ya Homosapiens Wayahudi wengi walimuuliza vipi mbona hajawagusa katika historia ya Ulimwengu.

21 Lessons,Noah anasema Jews & Judaism wanamchango mdogo sana katika historia ya Ulimwengu.

Noah anaelezea kwa Upana,Ufasaha, kuchangamsha Ubongo & kwa lugha inayoeleweka hata watu wenye vichwa vizito kama Mimi.

Noah alinifikirisha hapa sana
"Si kwamba sisi tunauwezo mkubwa sana kuliko Binadamu waliopita Kwa Maendeleo ya sasa Ulimwenguni bali tumeweza kukakaa na kufanya mambo/vitu kwa Umoja zaiidi".


Kuna siku nilipata kutazama Aljazeera Interview yake jamaa si katika Uandishi tu anaeleweka vyema hata Mubashara yuko vyema sana,

Akanikumbusha jamaa mmoja alimsema Christopher Hitchens(Namkubali Pia) kwamba ni great writer but ni horrible Debater..
 
Jamaa yuko vizuri sana. Nimesoma Sapiens, kina ideas ngeni sana. alinifurahisha anavyodefine dini, kwamba mambo kama ucommunist yanaweza kuwa ni dini. Na kuna ile anazungumzia sexual dimorphism kwa binadamu, imezoeleka kueleweka kuwa kiasili wanawake ndiyo wamepambika!!. Jamaa anajua. vipi hicho Homo Deus, kipo poa?
Moja kati ya kitabu bora kwangu mimi katika historia ya Ulimwengu.

Nilikuwa natafuta historia ya Ulimwengu/dunia nilivyokipata hiki kilikata kiu yangu kwa asilimia karibia 90.


Home deus kama ni Mtu wa Imani sana kidogo lazima kikupe shida..

Maanake kuna sehemu dini amezivurugavuruga/binuabinua/chambua kwa kina na kwa lugha inayoeleweka.
 
Zealot:The Life & Times of Jesus of Nazareth by Reza Alsan..

Hiki kitabu,kama wataka Kiujua historia ya Jews na "Yesu wa Kihistoria na sio wa Kiimani." Kipo vizuri..

Reza Anamuelezea Yesu kihistoria na "isreal Palestine" wakati ule wa utawala wa dola katili na lakutisha Rumi..

Anadai Yesu alikuwa ni Mwanaharakati wa kisiasa aliyeshindwa katika utawala wa kirumi,na kupinga Temple ambao walionekana kama kibaraka wa utawala wa kinyonyaji na katili wa Rumi....(Luke 22:32-38).
 
Audio books ni very simple sana kuvisoma unaweza kusikiliza huku unafanya kazi zako.ukitumia audiobook kwa mwaka unaweza kusoma hata vitabu 100
Sure. Ukipata msomaji ambaye hamezi maneno.
Ila kwa mtu anayetaka kusoma vitabu ili aweze kukuza lugha, na kuelewa vizuri , Audio book sio nzuri MKIBAIGWA.
 
Kinahusu nini? Hebu nishawishi Vinci.
Kinahusu Roho..na Free will.
Thomas ni mwanafalsafa namba 6 kati ya wanafalsafa 10 bora kuwahi kutokea dunia. Alikua ni padri pia..
So philosophers walikua wana argue kuhusu Roho na Free will ya mwanadamu so mawazo yake ndio yamepitishwa zaidi.
Gicho kitabu ndio kinaelezea zaidi

(You're not a Catholic )
 
Back
Top Bottom