Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bwana Thomas wa Aquino pamoja na St Augustine...nimewasoma falsafa zao ktk somo la Jurisprudence. Huyu Thomas Aquinas shule niliyosoma o level imeitwa kwa jina lake....

hayo maneno "Suma Theologicae.." nilianza kuyaona kwenye nembo ya shule yetu toka form one...ila sikuwahi kujua kama ni kitabu alichoandika huyo jamaa mpaka nilipofika university.

Nyimbo ya skuli ilikuwa ya kumsifu huyu jamaa, Thomas wa Aquinas.
 
Nitafutie vitabu vya Thomas Aquinas
Thomas Aquinas,
O-level ilikuwa kiduchu tu,nikasome Shule ya St Thomas Aquinas(Tabora),nikabadili Mawazo yangu nikaenda kwa Muajemi a giant(Iranian)-Bahai.

St Thomas kwa kijitabu cha Philosophy of religion sixth Edition amepewa kipande Part I concerpts of God.

St Thomas Aquinas,Is God's Power limited..?.
 
Kitabu kina madini sana. Natamani watu wengi zaidi ninaojadikiana nao hapa wangekuwa wanajadikiana kwa kiwango cha utashi wa kusoma vitabu kama hivi.
 
Zealot ninacho lakini sijakisoma. Too many books, too little time.
 
Yes, sio mkatoliki.
Asante kwa haya maelezo 'Vinci
Ila nitajitahidi nisome kitabu chake hata kimoja. Ningepata hata biography hata Autobiography will Do..
 
Mkuu umewahi kicheki Guns, Gems and Steel cha Jared Diamond?
 
Mtakatifu Tomas wa akwino.. Mwanafalsafa na mwanateolojia..

Vyovyote vyake nipatie
Nilikuwa napiga story na friends zangu na nikawashirikisha kuhusu Thomas Aquanas.
Wengi wanasema kuhusu Summa Theological and his Compendium of Theology.
I've attached Compendium Of Theology.
 

Attachments

Nilikuwa napiga story na friends zangu na nikawashirikisha kuhusu Thomas Aquanas.
Wengi wanasema kuhusu Summa Theological and his Compendium of Theology.
I've attached Compendium Of Theology.
Wow.. Ahsante sana.
Naomba unitafutie na vitabu vya Pythogras na Plato. Hasa vya plato!
Vile vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…