Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Bwana Thomas wa Aquino pamoja na St Augustine...nimewasoma falsafa zao ktk somo la Jurisprudence. Huyu Thomas Aquinas shule niliyosoma o level imeitwa kwa jina lake....Kinahusu Roho..na Free will.
Thomas ni mwanafalsafa namba 6 kati ya wanafalsafa 10 bora kuwahi kutokea dunia. Alikua ni padri pia..
So philosophers walikua wana argue kuhusu Roho na Free will ya mwanadamu so mawazo yake ndio yamepitishwa zaidi.
Gicho kitabu ndio kinaelezea zaidi
(You're not a Catholic )
hayo maneno "Suma Theologicae.." nilianza kuyaona kwenye nembo ya shule yetu toka form one...ila sikuwahi kujua kama ni kitabu alichoandika huyo jamaa mpaka nilipofika university.
Nyimbo ya skuli ilikuwa ya kumsifu huyu jamaa, Thomas wa Aquinas.