Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kinahusu Roho..na Free will.
Thomas ni mwanafalsafa namba 6 kati ya wanafalsafa 10 bora kuwahi kutokea dunia. Alikua ni padri pia..
So philosophers walikua wana argue kuhusu Roho na Free will ya mwanadamu so mawazo yake ndio yamepitishwa zaidi.
Gicho kitabu ndio kinaelezea zaidi

(You're not a Catholic )
Bwana Thomas wa Aquino pamoja na St Augustine...nimewasoma falsafa zao ktk somo la Jurisprudence. Huyu Thomas Aquinas shule niliyosoma o level imeitwa kwa jina lake....

hayo maneno "Suma Theologicae.." nilianza kuyaona kwenye nembo ya shule yetu toka form one...ila sikuwahi kujua kama ni kitabu alichoandika huyo jamaa mpaka nilipofika university.

Nyimbo ya skuli ilikuwa ya kumsifu huyu jamaa, Thomas wa Aquinas.
 
Nitafutie vitabu vya Thomas Aquinas
Thomas Aquinas,
O-level ilikuwa kiduchu tu,nikasome Shule ya St Thomas Aquinas(Tabora),nikabadili Mawazo yangu nikaenda kwa Muajemi a giant(Iranian)-Bahai.

St Thomas kwa kijitabu cha Philosophy of religion sixth Edition amepewa kipande Part I concerpts of God.

St Thomas Aquinas,Is God's Power limited..?.
 
Big Data Is Watching You!!


Vitabu vyake nimevipigia saluti vinatisha..Yupo vyema.

21 Lessons nilifurahi sana pale alipogusa Wayudi katika historia ya Ulimwengu.

Mimi ni moja wapo ya Watu Waliokuwa Wanaitafuta historia ya Wayahudi Jews & Israel.

Toka shule ya msingi Nimekuwa nikisikiliza habari za VOA Swahili & DW Swahili kuhusu Israel Palestina mgogoro mashariki ya kati,

Huku Sunday school & Commono tukipata habari ya Wanawaisrael Bible.

Nifanikiwa kipitia walau The Protocol of the elder of zion😛ropapanga Juu ya Wayaudi kiutawala dunia.. &
The Jewish revolution kilichoandikwa na Mwanajeshi Israeli Eldad & mzee wa Josephus Problem bwana Flavious Josephus The Antiquities of Jews.

Noah anasema Baada ya Homosapiens Wayahudi wengi walimuuiliza vipi mbona wajawagusa katika historia ya Ulimwengu.

21 Lessons,Noah anasema Jews & Judaism wanamchango mdogo sana katika historia ya Ulimwengu.

Noah anaelezea kwa Upana,Ufasaha, kuchangamsha Ubongo & kwa lugha inayoeleweka hata watu wenye vichwa vizito kama Mimi.

Noah alinifikirisha hapa sana
"Si kwamba sisi tunauwezo mkubwa sana kuliko Binadamu waliopita Kwa Maendeleo ya sasa Ulimwenguni bali tumeweza kukakaa na kufanya mambo/vitu kwa Umoja zaiidi".


Kuna siku nilipata kutazama Aljazeera Interview yake jamaa si katika Uandishi tu anaeleweka vyema hata Mubashara yuko vyema sana,

Akanikumbusha jamaa mmoja alimsema Christopher Hitchens(Namkubali Pia) kwamba ni great writer but ni horrible Debater..
Kitabu kina madini sana. Natamani watu wengi zaidi ninaojadikiana nao hapa wangekuwa wanajadikiana kwa kiwango cha utashi wa kusoma vitabu kama hivi.
 
Zealot:The Life & Times of Jesus of Nazareth by Reza Alsan..

Hiki kitabu? kama wataka Kiujua historia ya Jews na "Yesu wa Kihistoria na sio wa Kiimani." Kipo vizuri..

Reza Anamuelezea Yesu kihistoria na "isreal Palestine" wakati ule wa utawala wa dola katili na lakutisha Rumi..

Anadai Yesu alikuwa ni Mwanaharakati wa kisiasa aliyeshindwa katika utawala wa kirumi,na kupinga Temple ambao walionekana kama kibaraka wa utawala wa kinyonyaji na katili wa Rumi....(Luke 22:32-38).
Zealot ninacho lakini sijakisoma. Too many books, too little time.
 
Kinahusu Roho..na Free will.
Thomas ni mwanafalsafa namba 6 kati ya wanafalsafa 10 bora kuwahi kutokea dunia. Alikua ni padri pia..
So philosophers walikua wana argue kuhusu Roho na Free will ya mwanadamu so mawazo yake ndio yamepitishwa zaidi.
Gicho kitabu ndio kinaelezea zaidi

(You're not a Catholic )
Yes, sio mkatoliki.
Asante kwa haya maelezo 'Vinci
Ila nitajitahidi nisome kitabu chake hata kimoja. Ningepata hata biography hata Autobiography will Do..
 
Moja kati ya kitabu bora kwangu mimi katika historia ya Ulimwengu.

Nilikuwa natafuta historia ya Ulimwengu/dunia nilivyokipata hiki kilikata kiu yangu kwa asilimia karibia 90.


Home deus kama ni Mtu wa Imani sana kidogo lazima kikupe shida..

Maanake kuna sehemu dini amezivurugavuruga/binuabinua/chambua kwa kina na kwa lugha inayoeleweka.
Mkuu umewahi kicheki Guns, Gems and Steel cha Jared Diamond?
 
Mtakatifu Tomas wa akwino.. Mwanafalsafa na mwanateolojia..

Vyovyote vyake nipatie
Nilikuwa napiga story na friends zangu na nikawashirikisha kuhusu Thomas Aquanas.
Wengi wanasema kuhusu Summa Theological and his Compendium of Theology.
I've attached Compendium Of Theology.
 

Attachments

Nilikuwa napiga story na friends zangu na nikawashirikisha kuhusu Thomas Aquanas.
Wengi wanasema kuhusu Summa Theological and his Compendium of Theology.
I've attached Compendium Of Theology.
Wow.. Ahsante sana.
Naomba unitafutie na vitabu vya Pythogras na Plato. Hasa vya plato!
Vile vizuri
 
Back
Top Bottom