Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Safi sana iyo kitu ishanipa mzuka wa kuacha Kaz niingie mtaan kupambana kiume nasubil tu right time ifike tu Safi sana mkuu
 
Cash flow quadrant
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekisoma nipo chuo. Nilipomaliza chuo mpaka leo sijafata cheti na sijutii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii post nillisoma kwenye uzi tofauti na huu wangu na uliandika hivi hivi mkuu, nimefurahi pia kuona leo umeandika the same apa, Ubarikiwe sana mkuu umenitia nguvu.


Sent from iPhone 6s Plus
 
Inachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!
Anza vyepesi kama vya Ben Carson na story zake kama Think Big,Gifted hands,Take the risk etc:

Baada ya hapo najua utavutika tu ndio unakuja kwa James Hadley Chase;Huyu ukishasoma collection yake basi tunakuingiza moja kwa moja kwenye uraibu wa vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo drive ninayo app yao..ila nilikua napenda anybook ila saiv ni unalipia 23000 badaya ya kua free.
Watuambie kwa kweli, mana kusoma kuna raha yake, unakua mjanja mjanja! Hata maongez tu yanabadilika!
 
Hiyo drive ninayo app yao..ila nilikua napenda anybook ila saiv ni unalipia 23000 badaya ya kua free.
Watuambie kwa kweli, mana kusoma kuna raha yake, unakua mjanja mjanja! Hata maongez tu yanabadilika!


Huo ujanja ujanja mie ndo umenifanya naona njia nyofu nyofu kila ninapogusa...lol..
 
Umejifunza nini kuhusu kuwa mbahili?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…