Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Haha, ahsante kaka!Sema Soft Copy sio online Kaka [emoji2][emoji2]
Haya basi naombeni 'soft copy' yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha, ahsante kaka!Sema Soft Copy sio online Kaka [emoji2][emoji2]
Safi sana iyo kitu ishanipa mzuka wa kuacha Kaz niingie mtaan kupambana kiume nasubil tu right time ifike tu Safi sana mkuuWakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.
Sent from iPhone 6s Plus
jaribu kutafuta kweny pdf drive mzee Kuna mazagazaga kibao ukoHaha, ahsante kaka!
Haya basi naombeni 'soft copy' yake.
Bomba kaka. Hapana sina soft copy akeHaha, ahsante kaka!
Haya basi naombeni 'soft copy' yake.
🤣🤣🤣Nimesoma hicho kitabu ila bado sina duacipline ya hela asee sijui nimejiloga na nini!
Ahsante mzeejaribu kutafuta kweny pdf drive mzee Kuna mazagazaga kibao uko
Wakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.
Sent from iPhone 6s Plus
Njoo nikufundishe mbinu za kuweza kusoma vitabu kwa wingi na kupenda kusoma mambo mbali mbaliInachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!
Nimekisoma nipo chuo. Nilipomaliza chuo mpaka leo sijafata cheti na sijutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza vyepesi kama vya Ben Carson na story zake kama Think Big,Gifted hands,Take the risk etc:Inachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!
Nimesoma hicho kitabu ila bado sina duacipline ya hela asee sijui nimejiloga na nini!
Hiyo drive ninayo app yao..ila nilikua napenda anybook ila saiv ni unalipia 23000 badaya ya kua free.Mimi huwa natumia pdfdrive.net hapo huwa sikosi kitabu sema wadau pia watume app nzuri ya reader na je wanadownload format gani za vitabu Epub au pdf watuambiae hizo readers application wanazotumia, kwangu kwa pc ni adobe na sumatra ila kwa phone pia WPS
kinaelezea biashara za kufanya/kinaelezea nn hasa in summaryNimekisoma nipo chuo. Nilipomaliza chuo mpaka leo sijafata cheti na sijutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hata mimi ni mara ya pili namuona akitoa shuhuda..inatia moyo sanaHii post nillisoma kwenye uzi tofauti na huu wangu na uliandika hivi hivi mkuu, nimefurahi pia kuona leo umeandika the same apa, Ubarikiwe sana mkuu umenitia nguvu.
Sent from iPhone 6s Plus
Usicheke dingii
Nayo ni nzuri??Bomba kaka. Hapana sina soft copy ake
Ninayo ya hii RICHEST MAN OF BABYLON
Hiyo drive ninayo app yao..ila nilikua napenda anybook ila saiv ni unalipia 23000 badaya ya kua free.
Watuambie kwa kweli, mana kusoma kuna raha yake, unakua mjanja mjanja! Hata maongez tu yanabadilika!
Umejifunza nini kuhusu kuwa mbahili?[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.
Sent from iPhone 6s Plus
daaah mm nnaweza kusoma makala ya biashara iliyopostiwa ktk forum flan eg.jf,whatsapp n.k hata iwe na page 10 lakn ktabu hata iweje yaan kumaliza page 3 mtihan.[emoji848][emoji848] hivi kusoma vitabu ni kipaji au uamuzi tu ??