Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kuna ile hali (nguvu na mizuka) inatokea unapomliza kuangalia movie za ngumi unajihisi unaweza ukapiga watu 10 peke yako, nahisi ndo aliyonayo mleta mada

[emoji16][emoji16][emoji16] absolutely mkuu upo sahihi na hasira pia ninazo kwasababu back days nimekua nikifuja sana hela kwa vitu visivyo vya msingi like kununua simu za gharama, nguo + raba kali, Yani vitu vyoote ambayo author kavitaja kwenye hicho kitabu vinavyofanywa na poor people mimi nilikua navifanya before dah


Sent from iPhone 6s Plus
 


Mm nashauri aanze na AS A MAN THINKETH Cha JAMES ALLEN, kina page 30 tu
 
Bila kusahau usome na "First thing First" by Stephen Covey


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ni bonge la genius utajiri anaoupata kwa kuuza vitabu ni zaidi ya alionao, nimebahatika kusoma baadhi ya vitabu vyake ukiachana na maswala ya displine ya matumizi ya pesa formula zake kwa huku kwetu haiwezekani

Lengo la huyo mwandishi ni kukuuzia vitabu vyake, ili azidi kujipigia mihela wala sio kukufundisha wewe.... we chukua maarifa kisha tukutane field baada ya mwezi au ukishasoma kitabu kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…