Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?


The secret ni kitabu ambacho naendelea kukisoma taratibu ni kitabu chs ajabu sana hiki.

Kinanifundisha faida za kuwa na feeling nzuri,na faida za kufiriki mambo kea upande chaya.

Kwa mujibu wa kitabu hiki utatambua ya kuwa chochote unachokiwaza sasa hivi basi ujue ndo kinakuamulia wewe uwe katika hali gani

Chochote unachokisoma sasa hivi kinakuamulia uwe katika hali gani.

Chochote unachokisema kinakuamulia uwe katika hali gani.

Kwa hayo ili uwe unavyotaka angalia unavyofikiri, unachoongea,unachotazama n.k
miongoni mwa mstari ambao ulinivutia ni ule usemao ya kuwa "reaction are just attract more of the same"

Linapotokea jambo lolote liwe zuri au baya vile ambavyo utareact au utalichukulia basi hali zingine mfano wa vile ulivyolichukulia zitakuja kwa uwingi sana.

Kama umelichukulia jambo kwa kupanic basi jua kuwa your reaction ya kupanic will attract more reactions of the same (yaani ya kupanic).Mwandishi anatufundisha ya kuwa lazima katika maisha kuna mambo yataenda wrong na yatakutokea,lakini kutokea kwake haina maana na wewe u react wrong au katika hali ya kupanic no.

Mambo yakija vibaya wewe ndo unaamua vipi uyachukulie,ukianza kulaumu na kulalamika na kuchukia basi jua hali nyingine nyingi za kulaumu na kulalamika na kuchukia zitaendelea kuja katika mawwzo yako na utaona mabaya zaidi yatakayokufanya uzidi kuchukua,kulalamika na kulaumu.

Naendelea kukisoma kwa mfumo wa softycopy lakini natafuta hardcopy yake ili niwe nakipitia kwa raha mustarehe.

Mimi sio msomaji wa vitabu kutokana na ufinyu wangu wa kuelewa lugha ya malkia kwa indani lakini hiki kitabu nimeona kimenivutia na kunifanya nifanye kila juhudi kuelewa maudhui na nayaelewa kwa kiasi chake na pia nafaidika sana.

Hii ndo aina ya vitabu napenda.
 
Naomba soft copy yake kwa maelezo yako kimenivutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kitume apa na mimi nakiitaji

Sent using Jamii Forums mobile app


hicho cha cashflow quandrant ninacho lakini sio pdf ni epub
sasa format ya epub naona jf inagoma

nakutumia vya pdf hapa

1-Rich Dad Poor Dad
2- rich dad's Guide to Investing
 

Attachments

Ukimaliza soma pia The Magic cha huyu huyu Rhonda Byrne .
 
“Kuna wakati nagundua kuwa napenda theluji na namba kuliko ninavyowapenda wanadamu wenzangu”

Miss Smilla’s Feeling for Snow
 

Attachments

  • IMG_1748.JPG
    10.6 KB · Views: 14
“Kuna wakati nagundua kuwa napenda theluji na namba kuliko ninavyowapenda wanadamu wenzangu”

Miss Smilla’s Feeling for SnowView attachment 1444342
"Standing in the middle of the bedroom, we take off each other’s clothes. He has a light, fumbling brutality, which several times makes me think that this time it’ll cost me my sanity. In our dawning, mutual intimacy, I induce him to open the little slit in the head of his penis so I can put my clitoris inside and https://jamii.app/JFUserGuide him."~*Miss Smilla's Feeling For Snow*:

Hello Nowonmai, Paula anakusalimu.
 

Mkuu samahani nilikuuliza kitwbu cha rhonda cha " thr magic " anazungumzia nini hujaniambia naomba nidokeze kidogo
 

Hello Paula. Salaam kwako pia.

Nilikipenda sana kisa cha Smilla kama mwanamke aneyeishi kwenye ulimwengu wa hisabati (organized) na theluji na barafu
(zinazoficha mambo mengi kwa wasio weledi) lakini geometry yake ikiwa wazi kabisa kwake yeye ambaye ni Danish/Inuit au mueskimo.

Hana muda na mapenzi lakini anaichangamkia burudani(pleasure) ya penzi vilivyo kama ulivyomnukuu hapo juu.

Lakini ana utu wa kutosha kuingia kwenye vita dhidi ya uovu.

BTW, hapo mwisho wa nukuu yako, hiyo kitu inawezekana?
Niliirudia sana hiyo passage.

Miss you Paula.

And the language is no longer mine..!
 
Mkuu samahani nilikuuliza kitwbu cha rhonda cha " thr magic " anazungumzia nini hujaniambia naomba nidokeze kidogo
Hiki ni kitabu cha 3 na cha mwisho kwenye series ya Self-help za Rhonda zinazoenda kwa jina la The Secret.

Kuna The secret 1, 2 &3.
Cha kwanza kinaitwa The secret.
Cha pili kinaitwa The Power na,
Cha tatu kinaitwa The Magic.
Hakitofautiani sana na ulichosoma maana ni mwendelezo wa The Secret na The Power ila kina mambo mazuri zaidi.
Hiki kitabu kina siku 28 ambazo ukizimaliza unakuwa umepiga hatua sana kwenye maisha yako.

Ni kitabu ambacho kinakufanya uwe positive thinker, to pay attention on your own needs. Ukikisoma ukiaply ujumbe uliopo basi utajikuta unakuwa na furaha na utajivunia kila ulicho nacho. Utaachana na mambo ya vinyongo au kubeba moyoni vitu visivyo muhimu. Hautapoteza muda wako on Negative things

Unaweza kila siku ukasoma siku moja, maana kipo kwenye mfumo wa Day 1, Day 2 , Day 3 nk. Sasa kila "day" ina funzo lake. Hivyo utapata muda mzuri wa kutafakari na ku-apply kwenye maisha yako halisi.
 

Asante sana mkuu,hili ndo ambalo nililihitaji kutoka kwako madam.

The secret ni kitabu kizuri sana,kumbe kuna vizuri zaidi.

Navutika sana na vitabu vya aina hii.

Ubarikiwe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…