Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #1,761
Comment number 220 kwenye huu uzi. Utakuta PDF ya Rich Dad Poor Dad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment number 220 kwenye huu uzi. Utakuta PDF ya Rich Dad Poor Dad.
Tuko pamoja.Yes, umekumbuka vizuri sana.
Inakataaa kudownload mkuuu, ndio maana nimekuombaComment number 220 kwenye huu uzi. Utakuta PDF ya Rich Dad Poor Dad.
Kweli kabisa, material ni mengi.
Ukinunua nishtue.
Oh pole sana. Umekiona hicho kitabu kwenye hiyo comment lakini?
Hi,
I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind starts to stagnate.
My favorite book of all the time is East of Eden by John Steinbeck. I liked this book and I loved every page of it. To be honest this is a masterpiece. To this day still is one of the best motivational book I’ve ever read. I enjoyed it for the massages it provides. I have been reading the book and just got to these quotes “And now that, you don’t have to be perfect you can be good.” And “ If you want to be straight allow yourself to be crooked” etc. Truthfully this book gave me a little inspiration to pursue my goals.
Another one is The Hitchhiker’s Guide to the Galaxy by Douglas Adams. It’s the funniest book I have ever read. I’ve read the book many times, but still makes me laugh. I will share favorite part that I found myself re-reading, you know, Said Arthur,” It's at times like this when I m trapped in a Vogon...... And about to die of asphyxiation in deep space that I really wish I’d listened to what my mother told me when I was young”
“Why, what did she tell you?”
Arthur “ I don’t know, I didn’t listen”.
It’s so insanely funny and It reminds me that you shouldn’t take life so damn seriously.
Do you have any favorite book(s) you real like? Tell us about it, based on how good the book was, and why you think it was the best, what is the favorite part in it?
For those who don’t like reading, y'all should know that reading is the good way to learn new things, to see things in another perspective and to expand your creativity and linguistic skills.
Welcome guys.
G’day.
The secret ni kitabu ambacho naendelea kukisoma taratibu ni kitabu chs ajabu sana hiki.
Kinanifundisha faida za kuwa na feeling nzuri,na faida za kufiriki mambo kea upande chaya.
Kwa mujibu wa kitabu hiki utatambua ya kuwa chochote unachokiwaza sasa hivi basi ujue ndo kinakuamulia wewe uwe katika hali gani
Chochote unachokisoma sasa hivi kinakuamulia uwe katika hali gani.
Chochote unachokisema kinakuamulia uwe katika hali gani.
Kwa hayo ili uwe unavyotaka angalia unavyofikiri, unachoongea,unachotazama n.k
miongoni mwa mstari ambao ulinivutia ni ule usemao ya kuwa "reaction are just attract more of the same"
Linapotokea jambo lolote liwe zuri au baya vile ambavyo utareact au utalichukulia basi hali zingine mfano wa vile ulivyolichukulia zitakuja kwa uwingi sana.
Kama umelichukulia jambo kwa kupanic basi jua kuwa your reaction ya kupanic will attract more reactions of the same (yaani ya kupanic).Mwandishi anatufundisha ya kuwa lazima katika maisha kuna mambo yataenda wrong na yatakutokea,lakini kutokea kwake haina maana na wewe u react wrong au katika hali ya kupanic no.
Mambo yakija vibaya wewe ndo unaamua vipi uyachukulie,ukianza kulaumu na kulalamika na kuchukia basi jua hali nyingine nyingi za kulaumu na kulalamika na kuchukia zitaendelea kuja katika mawwzo yako na utaona mabaya zaidi yatakayokufanya uzidi kuchukua,kulalamika na kulaumu.
Naendelea kukisoma kwa mfumo wa softycopy lakini natafuta hardcopy yake ili niwe nakipitia kwa raha mustarehe.
Mimi sio msomaji wa vitabu kutokana na ufinyu wangu wa kuelewa lugha ya malkia kwa indani lakini hiki kitabu nimeona kimenivutia na kunifanya nifanye kila juhudi kuelewa maudhui na nayaelewa kwa kiasi chake na pia nafaidika sana.
Hii ndo aina ya vitabu napenda.
Ukimaliza soma pia The Magic cha huyu huyu Rhonda Byrne .The secret ni kitabu ambacho naendelea kukisoma taratibu ni kitabu chs ajabu sana hiki.

Ntakitafuta kiukweli ni vitu vizuri sana..Ukimaliza soma pia The Magic cha huyu huyu Rhonda Byrne .
Kinahusu nini hicho the magic anazungumzia nini nipe kwa ufupi tu mkuuUkimaliza soma pia The Magic cha huyu huyu Rhonda Byrne .
Kuna jamaa anaitwa Howard Bloom, mcheki ameandika The Lucifer Principles
Ukipata Audiobook yake uta enjoy zaidiView attachment 1437864
Sent using Jamii Forums mobile app
"Standing in the middle of the bedroom, we take off each other’s clothes. He has a light, fumbling brutality, which several times makes me think that this time it’ll cost me my sanity. In our dawning, mutual intimacy, I induce him to open the little slit in the head of his penis so I can put my clitoris inside and https://jamii.app/JFUserGuide him."~*Miss Smilla's Feeling For Snow*:“Kuna wakati nagundua kuwa napenda theluji na namba kuliko ninavyowapenda wanadamu wenzangu”
Miss Smilla’s Feeling for SnowView attachment 1444342
"Standing in the middle of the bedroom, we take off each other’s clothes. He has a light, fumbling brutality, which several times makes me think that this time it’ll cost me my sanity. In our dawning, mutual intimacy, I induce him to open the little slit in the head of his penis so I can put my clitoris inside and **** him."~*Miss Smilla's Feeling For Snow*:
Hello Nowonmai, Paula anakusalimu.

Hiki ni kitabu cha 3 na cha mwisho kwenye series ya Self-help za Rhonda zinazoenda kwa jina la The Secret.Mkuu samahani nilikuuliza kitwbu cha rhonda cha " thr magic " anazungumzia nini hujaniambia naomba nidokeze kidogo
Hiki ni kitabu cha 3 na cha mwisho kwenye series ya Self-help za Rhonda zinazoenda kwa jina la The Secret.
Kuna The secret 1, 2 &3.
Cha kwanza kinaitwa The secret.
Cha pili kinaitwa The Power na,
Cha tatu kinaitwa The Magic.
Hakitofautiani sana na ulichosoma maana ni mwendelezo wa The Secret na The Power ila kina mambo mazuri zaidi.
Hiki kitabu kina siku 28 ambazo ukizimaliza unakuwa umepiga hatua sana kwenye maisha yako.
Ni kitabu ambacho kinakufanya uwe positive thinker, to pay attention on your own needs. Ukikisoma ukiaply ujumbe uliopo basi utajikuta unakuwa na furaha na utajivunia kila ulicho nacho. Utaachana na mambo ya vinyongo au kubeba moyoni vitu visivyo muhimu. Hautapoteza muda wako on Negative things
Unaweza kila siku ukasoma siku moja, maana kipo kwenye mfumo wa Day 1, Day 2 , Day 3 nk. Sasa kila "day" ina funzo lake. Hivyo utapata muda mzuri wa kutafakari na ku-apply kwenye maisha yako halisi.