Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Paula Paul, nyumba ya kuishi ni liability, lakini hiyo haimaanishi kwamba watu wasiwe na nyumba za kuishi.

Shida ya masikini tuliowengi ni kuwa tunatumia jasho na damu kununua luxuries na liabilities... Ili upige bao fasta unatakiwa kutumia assets kununua luxuries.

Your job is not an asset kwa hiyo kutumia mshahara kujenga nyumba ya kuishi sio sahihi, Wengi huwa wanapinga hili..

Swali lako kwamba unafamilia na kupanga utajibana, unaanzaje kujenga nyumba ya kupangisha sijalijibu, kwa sababu inategemea na hali ya mhusika, kipato, ukubwa wa familia na mazingira mengine...

Lakini naomba nikujibu kifupi tu, jenga hiyo nyumba ya kuishi, kama ulivyosema kidogo kidogo huku tayari umeshamia ili kukwepa gharama ya pango, ikishakamilika, hama halafu ipangishe, wewe nenda kapange, si tayari unakuwa umeshaweza?

Mimi nadhani ni rahisi tu, lakini wengi tunataka ule ufahari kwamba, NINATOKEA KWANGU, ninaishi kwenye nyumba yangu, hata kama hakuna tija yeyote..

Mkuu kama kuna hoja nimesahau kuijadili nikumbushe..
 
Nimemwelewa sana alipose sisi wanaume we are sexual by nature and you are emotional by nature. She says a woman is a woman. You are different but inside you operate the same.

Hicho cha why men love bitches sijakisoma nippasie ukikipata.
Bila shaka hakifundishi wanawake wote waanze kufanya kama .... Ili wapendwe.
Nikimaliza ninachokisoma sasa hivi nitakuwa nasoma hiki page 5 kila siku hadi kiishe.
 
Attachments

  • m_5bc48d072beb79cda5e21e60.jpg
    m_5bc48d072beb79cda5e21e60.jpg
    46.8 KB · Views: 38
  • [Sherry_Argov]_Why_Men_Love_Bitches-_From_Doormat_(z-lib.org).pdf
    [Sherry_Argov]_Why_Men_Love_Bitches-_From_Doormat_(z-lib.org).pdf
    1.7 MB · Views: 0
Nasoma juu ya dhana na mada za aina zote Paula. Ila pengine sababu ya kusoma vitabu vingi kwa muda mrefu nime develop in built detector for trash.
Kuna vitabu ambavyo siwezi kuviangalia mara ya pili au waandishi ambao sishughuliki nao kabisa. Hiki kitabu cha Kara King kama mlivyokijadili hapa kimeamsha udadisi wangu kwasababu hata nyumbani Tz kuna watu walishajua na kuitumia hiyo nguvu ya ‘P’ kitambo ingawa wenyewe husema “P ni mali/asset”.
Alafu kwa muda huu mfupi ambao mimi na wewe tume interact hapa JF nimekuaminia kwa usomaji wa vitabu vyenye kuchangamsha akili.
Ni kweli kuna vitabu ukinunua ukivisoma unaweza usimalize au ukimaliza usitamani kuvitizama tena.

Nadhani miongoni mwa hobbies zangu Kusoma vitabu ni namba moja.
Kuangalia movies ni namba mbili.
Kusikiliza music ni namba tatu.
Asante kama umeona vinachangamsha akili Nowonmai.
 
Ile typical romance nimepunguza kidogo.
Uzuri wenyewe siku hizi waandishi wanachanganya dhana nyingi kwenye utunzi mpaka inafurahisha. Ndio kwanza nimemaliza kusoma sehemu ya tano ya A Song of Ice and Fire(hadithi ya series za Game of Thrones). Kuna kila dhana huko: science fiction, adventure, romance, vita, the supernatural, na nyingine nyingi tu.
Yaani nakuwa so absorbed mpaka yule mwenye ‘ power’ yake anisitue kwamba yeye ndio kipaumbele cha kwanza!
Nimecheka😊😊😊.
Mwenye power yake haitumii vizuri, hadi anakupa muda wa kusoma vitabu hadi nyumbani?

ASOIAF ipo hadi book ngapi? Hivi ni vizuri kusoma kabla ya kuwatch show au baada?
Wewe umesoma wakati gani?
Nasikia kina mambo ambayo kwenye show hayapo lakini kwenye vitabu hapo.
Nilisoma book one nikaweka kando. Nishawishi na Mimi.
 
Wakuu Mujuni Lwambo na Paula Paul shukrani nyingi kwa analysis yenu ya Rich Dad, Poor Dad.
Kwa maoni yangu Kiyosaki yuko sahihi kwenye concepts za assets na liabilities, uwekezaji kwenye RE lakini hasa kwenye umuhimu wa kila mtu kuwa na financial literacy. Mahali ambapo natofautiana naye ni pale anapoiponda sana formal education. Ni ukweli ulioko wazi kabisa na tafiti nyingi zinasapoti kuwa kwa wastani, watu waliopitia shuleni wana kipato kikubwa zaidi kuliko wale ambao hawajasoma. Naona kama hii nadharia yake (ya kukandia shule)ina apply kwa watu wachache sana mf. kina Bakhresa etc. huko kwetu. Alafu hata hivyo, kwa kila billionaire mmoja si kuna wasaidizi wengi tu walioenda shule kisawasawa na wanaolipwa vizuri sana ambao ni mameneja na technicians wa hao mabilionea,? Hebu nisaidieni kwenye hilo maana baada ya kusoma Rich Dad, Poor Dad vijana wengi wanataka kuwa Kalumekenge!
Hahahaahaaa!
wanataka kuwa Kalumekenge au sio?

Kabla sijasahau, umesema asilimia kubwa ya waliopitia shule wana vipato vikubwa na wengi wanalipwa mishahara mikubwa, hapa ndio tatizo lilipo:

Wanalipwa mishahara mikubwa na kipato kikubwa lakini bado wana struggle financially, why? Ndio ubovu wa hiyo formal education.

Mtu kafanya kazi muda mrefu lakini akitumbuliwa anataka kujinyonga, why? Ndio ubovu wa formal education.

Mtu kafanya kazi hadi umri wa kustaafu umefika lakini anaomba kuendelea kufanya kazi, why? Ndio ubovu wa formal education.

Mtu kafanya kazi hadi kastaafu, lakini ana maisha magumu na pensheni yake wanamzungusha tu, why?

Kama wewe unapenda kuwa muajiriwa maisha yako yote hadi uzeeni unaamka asubuhi kwenda kazini, formal education inakufaa,

Kama ni vinginevyo, ongezea na mengine nje ya syllabus.
 
Ili tuende vizuri inabidi tujadili jambo moja kabla ya jingine,

Naomba nianzie suala la elimu,

Mifumo ya elimu kote duniani ipo kwa ajili ya kutengeneza wafanyakazi(labour force), Lengo la elimu ya darasani ni kukufanya wewe uwe mtumish(mtumwa?).

Na kwa maana hiyo ni vigumu sana kujiajiri, hata kama umesoma biashara(bussness) au ujasiliamali(entrepreneurship), nitaelezea ni kwa nini...

Mitaala ya elimu iko facilitated na matajiri wakubwa(tycoons) ili kupata wafanyakazi kwenye viwanda na makampuni yao, hivyo, elimu hiyo haina dhamira ya kukufundisha wewe kuhusu pesa. Kwani ukijua kuhusu pesa utakuwa tajiri na hautakubali kuajiriwa tena, hivyo watakosa mfanyakazi.

Ukisoma kuhusu Bussness Adminstration, unasoma kuhusu KUSIMAMIA PESA TU.

Ukisoma kuhusu FINANCE, unafundishwa mambo yahusuyo, HISTORY OF FINANCE, TYPES OF FINANCE, utasoma hadi FOREX ya ONTARIO.

Money management jina linajielezea, ni kumanage pesa tu, hakuna la ziada...

Fani zote tajwa hapo zinakufundisha wewe kwa namna moja ama nyingine kusimamia pesa katika kampuni ya mtu and it rarely teaches you how to start your own company na Hufundishwi kabisa kitu cha muhimu kabisa, HOW TO MAKE MONEY/HOW TO MAKE MONEY MULTIPLY, kitu ambacho ni muhimu kabisa ili kutajirika..

Naomba niazime maneno toka kwenye The richest man in babylon, "I decided that i have to learn the principles on how to accumulate wealthy, make it my duty and do it well.." huyo ni Arkad aliyeamua hivyo, and that is the key,

Cha kusikitisha, hata usome finance au biashara, you are never taught, how to accumulate wealthy!

Unafundishwa kusimamia wealthy ambayo iko accumulated!
Asante Mjuni.
Nivumilie kidogo.
Kipindi nimesoma chuo nilisoma haya mambo.
1. Namna ya kuandaa business plan.
2. Namna ya kuchagua Business Idea.
3. How to start a business.
4. Namna ya kupata startup capital
5. Kuikuza biashara hapa nilisoma naweza nikatumia (loan/debt au Equity Capital).
6. Kufanya research ya eneo ninalotaka kufungua hiyo biashara, ili kujua wateja wangu watakuwa ni wakina nani.
7.
8.
9
10.
Ni mengi ambayo siwezi kuelezea.

Ain't these enough kufungua biashara yangu mwenyewe?

Nikasoma pia namna ya kumanage hiyo biashara.
Mambo ya accounting.
Mambo yote ambayo nimeyasoma kwenye vitabu nimeyasoma darasani.

Sasa kama nimefundishwa kwanzia kuwa na business idea, kuandaa business plan, hadi sehemu ninayoweza kupata capital, na pia namna ya kuwa na nidhamu ya fedha kweli haya yote wameniandaa ili ni ajiriwe?.
Ni kitu gani au elimu gani tena nahitaji ili kuanzisha biashara yangu mwenyewe? Capital?

Hebu nieleweshe zaidi Mjuni, natamani kuelewa sana.
 
Ukitaka kutekeleza hayo mambo uliyofundishwa, utajikuta umekwama kwenye "analysis paralysis" bila kuchukua hatua yeyote,

Na ukija kufanikiwa kuchukua hatua, utafail, utakimbia na kusema biashara ni ngumu, utaenda kutafuta ajira.
Sasa hivi nakuja kuelezea ni kwa nini.
 
Wakuu Mujuni Lwambo na Paula Paul shukrani nyingi kwa analysis yenu ya Rich Dad, Poor Dad.
Kwa maoni yangu Kiyosaki yuko sahihi kwenye concepts za assets na liabilities, uwekezaji kwenye RE lakini hasa kwenye umuhimu wa kila mtu kuwa na financial literacy. Mahali ambapo natofautiana naye ni pale anapoiponda sana formal education. Ni ukweli ulioko wazi kabisa na tafiti nyingi zinasapoti kuwa kwa wastani, watu waliopitia shuleni wana kipato kikubwa zaidi kuliko wale ambao hawajasoma. Naona kama hii nadharia yake (ya kukandia shule)ina apply kwa watu wachache sana mf. kina Bakhresa etc. huko kwetu. Alafu hata hivyo, kwa kila billionaire mmoja si kuna wasaidizi wengi tu walioenda shule kisawasawa na wanaolipwa vizuri sana ambao ni mameneja na technicians wa hao mabilionea,? Hebu nisaidieni kwenye hilo maana baada ya kusoma Rich Dad, Poor Dad vijana wengi wanataka kuwa Kalumekenge!
Kalumekenge ni nini Nowonmai?
Hapa Mjuni ndio aelezee vizuri kwa sababu mimi ni naamini kama wewe. Kwamba elimu ni kila kitu.
Unaweza kuwa na hela pia ukahitaji ma expert wakufanyie kazi zako na watakwambia kaa kimya Mimi ndio nina ujuzi na hili.
Lakini hili pia " this Kiyosaki " anaona pia ni sawa na kutishia kwamba waliofeli shule ndio wanaajiri waliofaulu.
Yupo mtu mmoja humu kama sijakosea anaitwa "Khan " alisema huyu Robert Kiyosaki anaweza kukufanya ukaidharau degree yako.
Na ndivo vijana wanavofanya, wa natamani ada waliolipia shule wangepewa wafungue biashara.
Lakini jee, Kiyosaki hajasoma ?
Reginald Mengi haja soma?
Bilget haja soma?
 
Paula Paul, nyumba ya kuishi ni liability, lakini hiyo haimaanishi kwamba watu wasiwe na nyumba za kuishi.

Shida ya masikini tuliowengi ni kuwa tunatumia jasho na damu kununua luxuries na liabilities... Ili upige bao fasta unatakiwa kutumia assets kununua luxuries.

Your job is not an asset kwa hiyo kutumia mshahara kujenga nyumba ya kuishi sio sahihi, Wengi huwa wanapinga hili..

Swali lako kwamba unafamilia na kupanga utajibana, unaanzaje kujenga nyumba ya kupangisha sijalijibu, kwa sababu inategemea na hali ya mhusika, kipato, ukubwa wa familia na mazingira mengine...

Lakini naomba nikujibu kifupi tu, jenga hiyo nyumba ya kuishi, kama ulivyosema kidogo kidogo huku tayari umeshamia ili kukwepa gharama ya pango, ikishakamilika, hama halafu ipangishe, wewe nenda kapange, si tayari unakuwa umeshaweza?

Mimi nadhani ni rahisi tu, lakini wengi tunataka ule ufahari kwamba, NINATOKEA KWANGU, ninaishi kwenye nyumba yangu, hata kama hakuna tija yeyote..

Mkuu kama kuna hoja nimesahau kuijadili nikumbushe..
Hapana haujasahau hoja yoyote.
Na nashukuru kwa namna unavyoelezea kwa moyo wote. Na ninakiri kuelewa.

😊😊Mimi ni miongoni mwa watu tunapenda title ya "mama mwenye nyumba'' nadhani hii concept ya huyu jamaa hainifai.

Asante Sana Mjuni nakiri kuelewa.
 
Paula Paul, naendelea kujadili post yako namba 836.

Pale juu nilisema kuwa darasani inakosekana financial education,

Financial education ni pana sana kushinda formal education, kwa maana ya academic na professional(can you believe this?)

Elimu imegawanyika ktk makundi makuu manne, yaani inatakiwa kucover sehemu kuu nne:
1)physical
2)mental
3)emotional
4)spiritual

Formal education ina deal na namba 2) tu, mental, ilihali financial inatakiwa emotional na spiritual,

kwa hiyo iĺi uweze kupata financial education, lazima uwe prepared emotionally na spiritually, otherwise utakimbia tu.

Hii mada ina mambo mengi sana, hadi hapa inabidi nistop, ili nione kama sijapuyanga nje ya hoja.
 
Ukitaka kutekeleza hayo mambo uliyofundishwa, utajikuta umekwama kwenye "analysis paralysis" bila kuchukua hatua yeyote,

Na ukija kufanikiwa kuchukua hatua, utafail, utakimbia na kusema biashara ni ngumu, utaenda kutafuta ajira.
Sasa hivi nakuja kuelezea ni kwa nini.
Asante, nasubiri sababu kwa hamu.
 
Paula Paul, naendelea kujadili post yako namba 836.

Pale juu nilisema kuwa darasani inakosekana financial education,

Financial education ni pana sana kushinda formal education, kwa maana ya academic na professional(can you believe this?)

Elimu imegawanyika ktk makundi makuu manne, yaani inatakiwa kucover sehemu kuu nne:
1)physical
2)mental
3)emotional
4)spiritual

Formal education ina deal na namba 2) tu, mental, ilihali financial inatakiwa emotional na spiritual,

kwa hiyo iĺi uweze kupata financial education, lazima uwe prepared emotionally na spiritually, otherwise utakimbia tu.

Hii mada ina mambo mengi sana, hadi hapa inabidi nistop, ili nione kama sijapuyanga nje ya hoja.
You are appreciated Mjuni..
Nilikuwa nataka niongeze maswali ila pia kwa tuliyoyajadili I am grateful.
Nina imani kuna siku tutakutana hapa na nitakuwa maswali yangu. Nimeweka alama tulipoishia.

Hats off to you.!
 
Asante, nasubiri sababu kwa hamu.
#842 inaendelea,

Mwanzo kabisa ulisema kampuni za kiyosaki zilifirisika, hiyo ndio emotional na spiritual(mtaniwia radhi, sijui kufundisha, hadi mwenyewe nimejicheka).

Shuleni tunafundishwa kuwa kufail ni jambo baya na unachapwa ukifail, huku kwenye bussness kufail siyo jambo baya, ni ni vizuri ukifail, there is a saying in aviation "you havent crushed until you have crushed, until then, keep flying the plane"

Wakuu kesho, naona kabisa sieleweki, sijui usingizi!?
 
Back
Top Bottom