Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Paula, PDF ya hvi vyote siwezi pata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni kitabu cha 3 na cha mwisho kwenye series ya Self-help za Rhonda zinazoenda kwa jina la The Secret.
Kuna The secret 1, 2 &3.
Cha kwanza kinaitwa The secret.
Cha pili kinaitwa The Power na,
Cha tatu kinaitwa The Magic.
Hakitofautiani sana na ulichosoma maana ni mwendelezo wa The Secret na The Power ila kina mambo mazuri zaidi.
Hiki kitabu kina siku 28 ambazo ukizimaliza unakuwa umepiga hatua sana kwenye maisha yako.
Ni kitabu ambacho kinakufanya uwe positive thinker, to pay attention on your own needs. Ukikisoma ukiaply ujumbe uliopo basi utajikuta unakuwa na furaha na utajivunia kila ulicho nacho. Utaachana na mambo ya vinyongo au kubeba moyoni vitu visivyo muhimu. Hautapoteza muda wako on Negative things
Unaweza kila siku ukasoma siku moja, maana kipo kwenye mfumo wa Day 1, Day 2 , Day 3 nk. Sasa kila "day" ina funzo lake. Hivyo utapata muda mzuri wa kutafakari na ku-apply kwenye maisha yako halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app