Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

safuher & Pendael24 .
Nisamehe kwa kuchelewa. I haven't had time to catch my breath, you know how life gets.

Kusoma kwa English itakuwa ni ngumu sana kwako kama utajaribu kutaka kuelewa every single word na kuacha kuzingatia lengo/(context?)la mwandishi. Ukielewa mwandishi anaandika kuhusu nini hautahitaji kujua kila neno lina maana gani. Okay look, hauhitaji kujua maana ya kila neno ndio uelewe story inahusu nini. Ukishakuwa unatembea ndani ya hadithi kuna maneno yanaweza kuwa mageni kwako but you can guess what they mean na ukawa sahihi.

Achana na misamiati usiyo ijua. Wewe endelea kusoma the whole paragraph utapata massage ya mwandishi hata kama haujui maana ya msamiati uliotumika. If you keep reading you will understand anamaanisha nini kwa kutumia context clues. Kumbuka the more you read the easier it will become.

Japo it worth sometimes to look something up kama ukiona huo msamiati unarudiwa sana na unahisi umebeba maana nzima ya unachosoma, unatakiwa uuangalie unamaanisha nini. Lakini kabla haujaangalia maana yake jaribu ku guess kwanza ina maana gani. You see, it is just a matter of practice. It may take some time to get used to it, ila ukifanya bidii haichukui muda.

Kwa mfano, hata mimi kuna misamiati nakutana nayo kwenye vitabu ni mpya kwangu, lakini kutokana na context napata clue kwamba ule msamiati lazima utakuwa na maana hii, na kweli nikiangalia nakuta nilikuwa sahihi.

N.B, ukiona kwenye paragraph moja kuna maneno mengi ambayo haujui maana yake naweza kukushauri tumia dictionary. Uzuri ni kwamba kwenye kitabu kizima ukiangalia maneno zaidi ya 10 hautahitaji kuangalia tena maana ni hayo hayo yanajirudia so ni wewe kuwa na kumbukumbu kwamba hili neno nilishaliangalia na maana yake ni hii. Kwa hiyo pages za mwanzo tu ndio utasumbuka.

Kingine, kila mwandishi kutokana na genre anazoandika kuna misamiati lazima tu uikute kwenye kazi zake, kwa hiyo kama cha kwanza ulisoma ukaelewa hata kazi zake nyingine hautahitaji dictionary.

Kama unatumia ereader kama EPUB reader, it has a built in dictionary you can just click on a word and the definition is right there.
 
Ndo huyo mimi maneno kumi na mbili nmeelewa misamiati mitano kazi mbele nashukuru sijawahi kwama kupata ujumbe wa mwandishi.
 
Mkuu nikushukuru sana kwa kutupa muda wako kuweka ushauri adhwimu kama huu

Niseme asante sana.
 
Wakuu mwenye kile kitabu cha "the power cha rhonda byrne nakiomba.

Au mtu animention kwemye ile comment
 
20211025-004220.jpg

So I decided to try "Fahrenheit 451" for the first time after looking for book recommendations.

I am so happy that I decided to try it out. Fahrenheit 451 is the first Bradbury's book I have read. Definitely a fantastic read.
 
Attachments

safuher & Pendael24 .
Nisamehe kwa kuchelewa. I haven't had time to catch my breath, you know how life gets.

Kusoma kwa English itakuwa ni ngumu sana kwako kama utajaribu kutaka kuelewa every single word na kuacha kuzingatia lengo/(context?)la mwandishi. Ukielewa mwandishi anaandika kuhusu nini hautahitaji kujua kila neno lina maana gani. Okay look, hauhitaji kujua maana ya kila neno ndio uelewe story inahusu nini. Ukishakuwa unatembea ndani ya hadithi kuna maneno yanaweza kuwa mageni kwako but you can guess what they mean na ukawa sahihi.

Achana na misamiati usiyo ijua. Wewe endelea kusoma the whole paragraph utapata massage ya mwandishi hata kama haujui maana ya msamiati uliotumika. If you keep reading you will understand anamaanisha nini kwa kutumia context clues. Kumbuka the more you read the easier it will become.

Japo it worth sometimes to look something up kama ukiona huo msamiati unarudiwa sana na unahisi umebeba maana nzima ya unachosoma, unatakiwa uuangalie unamaanisha nini. Lakini kabla haujaangalia maana yake jaribu ku guess kwanza ina maana gani. You see, it is just a matter of practice. It may take some time to get used to it, ila ukifanya bidii haichukui muda.

Kwa mfano, hata mimi kuna misamiati nakutana nayo kwenye vitabu ni mpya kwangu, lakini kutokana na context napata clue kwamba ule msamiati lazima utakuwa na maana hii, na kweli nikiangalia nakuta nilikuwa sahihi.

N.B, ukiona kwenye paragraph moja kuna maneno mengi ambayo haujui maana yake naweza kukushauri tumia dictionary. Uzuri ni kwamba kwenye kitabu kizima ukiangalia maneno zaidi ya 10 hautahitaji kuangalia tena maana ni hayo hayo yanajirudia so ni wewe kuwa na kumbukumbu kwamba hili neno nilishaliangalia na maana yake ni hii. Kwa hiyo pages za mwanzo tu ndio utasumbuka.

Kingine, kila mwandishi kutokana na genre anazoandika kuna misamiati lazima tu uikute kwenye kazi zake, kwa hiyo kama cha kwanza ulisoma ukaelewa hata kazi zake nyingine hautahitaji dictionary.

Kama unatumia ereader kama EPUB reader, it has a built in dictionary you can just click on a word and the definition is right there.
Ushauri mzuri sana ahsante

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1989953
So I decided to try "Fahrenheit 451" for the first time after looking for book recommendations.

I am so happy that I decided to try it out. Fahrenheit 451 is the first Bradbury's book I have read. Definitely a fantastic read.
Nadhani hii kitu ndio ile wameitengenezea movie hapo majuzi, leading character alikua Michael B Jordan.
 
Ndio na huyu Michael B Jordan ndio ame act kama Montag.

Ila kama umeangalia sina uhakika kama uliipenda na ukisoma kitabu utaichukia zaidi maana haina kufanania kabisa. Ni kama story mbili tofauti japo wamesema ni adaptation.
 
safuher & Pendael24 .
Nisamehe kwa kuchelewa. I haven't had time to catch my breath, you know how life gets.

Kusoma kwa English itakuwa ni ngumu sana kwako kama utajaribu kutaka kuelewa every single word na kuacha kuzingatia lengo/(context?)la mwandishi. Ukielewa mwandishi anaandika kuhusu nini hautahitaji kujua kila neno lina maana gani. Okay look, hauhitaji kujua maana ya kila neno ndio uelewe story inahusu nini. Ukishakuwa unatembea ndani ya hadithi kuna maneno yanaweza kuwa mageni kwako but you can guess what they mean na ukawa sahihi.

Achana na misamiati usiyo ijua. Wewe endelea kusoma the whole paragraph utapata massage ya mwandishi hata kama haujui maana ya msamiati uliotumika. If you keep reading you will understand anamaanisha nini kwa kutumia context clues. Kumbuka the more you read the easier it will become.

Japo it worth sometimes to look something up kama ukiona huo msamiati unarudiwa sana na unahisi umebeba maana nzima ya unachosoma, unatakiwa uuangalie unamaanisha nini. Lakini kabla haujaangalia maana yake jaribu ku guess kwanza ina maana gani. You see, it is just a matter of practice. It may take some time to get used to it, ila ukifanya bidii haichukui muda.

Kwa mfano, hata mimi kuna misamiati nakutana nayo kwenye vitabu ni mpya kwangu, lakini kutokana na context napata clue kwamba ule msamiati lazima utakuwa na maana hii, na kweli nikiangalia nakuta nilikuwa sahihi.

N.B, ukiona kwenye paragraph moja kuna maneno mengi ambayo haujui maana yake naweza kukushauri tumia dictionary. Uzuri ni kwamba kwenye kitabu kizima ukiangalia maneno zaidi ya 10 hautahitaji kuangalia tena maana ni hayo hayo yanajirudia so ni wewe kuwa na kumbukumbu kwamba hili neno nilishaliangalia na maana yake ni hii. Kwa hiyo pages za mwanzo tu ndio utasumbuka.

Kingine, kila mwandishi kutokana na genre anazoandika kuna misamiati lazima tu uikute kwenye kazi zake, kwa hiyo kama cha kwanza ulisoma ukaelewa hata kazi zake nyingine hautahitaji dictionary.

Kama unatumia ereader kama EPUB reader, it has a built in dictionary you can just click on a word and the definition is right there.
Asante sana kwa mwongozo, imani yangu mwanadamu bila ya maarifa kwa ulimwengu wa sasa hatoboi!
Na maarifa kwa upekee yanapatikana katika vitabu.
Iwapo tungekuwa na bidii ya kujishughulisha na kusoma tungekuwa na maarifa ya kutatua changamoto zinazokutanika kwenye jamii yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kujisomea kuna maarifa mengi kuliko hata shuleni.
 
safuher ,fungua hii comment. Utapata hivo vitabu vya Rhonda nilivyowahi kukupatia.
Cha kwanza -The Power
Cha pili-The Secret.
Cha tatu-The Magic

Nilinunua hard cover ya The Secret, kabla nifike nacho nyumbani mtu akaking'ang'ania ikabidi nimwachie. Ila ntasikitika sana endapo hakukisoma na sio mtu niliyemfaham kiasi cha kumuuliza endapo amekisoma.

Nifanyeje nianze kupenda kusoma Novel?
 
Usingempa hadi usome kwanza. Mara nyingi(sio wote) watu wa hivo huwa hawavisomi na hawarudishi.

Unazosoma zile zinaitwaje The Monk?
 
Ah! Na tokea nampa nilijua kabisa ni hasara. Mwenye nia ya kusoma angeuliza title na kinapatikana wapi, ikiwezekana bei gani. Lakini hii mihemko mtu kakuona na kitabu anaking'ang'ania, wengi hawavisomi.

Kuna mmoja nilimpa cha The 8th Habit ( mwendrlezo wa The seven habits of highly effective people) kuja kumuuliza, amemwachia girlfriend wake yuko Rwanda.

Nnavyosoma sasa hivi ni mchanganyiko Paula Paul , ranging from business, management, leadership, IT , na vingine vya personal improvement...si unajua shule yenyewe haijai kwenye kibaba Professor?

Nikajua siku ile ulipitia oridha ya ile harufu ya weed?
 
Mimi natoa vitabu ambavyo I don't expect to get back. Kwa sababu hizo hizo, hawarudishi au wanarudisha vikiwa in bad condition. Kwa hiyo kama bado sijasoma nitaumia.

Hapana nilivisoma, hivi kumbe zile sio Novels? Leo nifundishe kutofautisha.
 
Tuishie hapo Paula, tunakoelekea ntajikuta nnapata uhakika hata hiyo maana ya Novel niliyofikiria naijua kumbe siifaham. Tuishie hapo Professor.

Au fanya hivi mkuu, kwani maana ya Novel ni nini?
 
Nimecheka sana.
Mimi sijui ndio maana nimekuomba unielekeze. Nielekeze tu unavyojua. Mimi nipo kujifunza.
 
You want me to reveal my ignorance publicly right? I will never do that.

Anyway, according to google
Novel is a fictitious prose narrative of book length, typically representing character and action with some degree of realism.
 
I am happy you took time to educate me a bit. Thank you.
 
Back
Top Bottom