Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #2,861
safuher & Pendael24 .
Nisamehe kwa kuchelewa. I haven't had time to catch my breath, you know how life gets.
Kusoma kwa English itakuwa ni ngumu sana kwako kama utajaribu kutaka kuelewa every single word na kuacha kuzingatia lengo/(context?)la mwandishi. Ukielewa mwandishi anaandika kuhusu nini hautahitaji kujua kila neno lina maana gani. Okay look, hauhitaji kujua maana ya kila neno ndio uelewe story inahusu nini. Ukishakuwa unatembea ndani ya hadithi kuna maneno yanaweza kuwa mageni kwako but you can guess what they mean na ukawa sahihi.
Achana na misamiati usiyo ijua. Wewe endelea kusoma the whole paragraph utapata massage ya mwandishi hata kama haujui maana ya msamiati uliotumika. If you keep reading you will understand anamaanisha nini kwa kutumia context clues. Kumbuka the more you read the easier it will become.
Japo it worth sometimes to look something up kama ukiona huo msamiati unarudiwa sana na unahisi umebeba maana nzima ya unachosoma, unatakiwa uuangalie unamaanisha nini. Lakini kabla haujaangalia maana yake jaribu ku guess kwanza ina maana gani. You see, it is just a matter of practice. It may take some time to get used to it, ila ukifanya bidii haichukui muda.
Kwa mfano, hata mimi kuna misamiati nakutana nayo kwenye vitabu ni mpya kwangu, lakini kutokana na context napata clue kwamba ule msamiati lazima utakuwa na maana hii, na kweli nikiangalia nakuta nilikuwa sahihi.
N.B, ukiona kwenye paragraph moja kuna maneno mengi ambayo haujui maana yake naweza kukushauri tumia dictionary. Uzuri ni kwamba kwenye kitabu kizima ukiangalia maneno zaidi ya 10 hautahitaji kuangalia tena maana ni hayo hayo yanajirudia so ni wewe kuwa na kumbukumbu kwamba hili neno nilishaliangalia na maana yake ni hii. Kwa hiyo pages za mwanzo tu ndio utasumbuka.
Kingine, kila mwandishi kutokana na genre anazoandika kuna misamiati lazima tu uikute kwenye kazi zake, kwa hiyo kama cha kwanza ulisoma ukaelewa hata kazi zake nyingine hautahitaji dictionary.
Kama unatumia ereader kama EPUB reader, it has a built in dictionary you can just click on a word and the definition is right there.