RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Ni kawaida sana kumbadili mmoja ku mpesa akaudumia wengne
Kulko wote kua maskini
Kwa upande wangu mi naona ni sawa kbsa ni heli umtoe mmoja ili wengne waishi maisha mazuri naya amani
Na ndo maana ata madreva wa mabasi wanaambiwa ni bora kugonga mtu mmoja akafa kulko kuuwa abiria 60 kwenye basi