RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,690 Feb 20, 2025 #101 Ni kawaida sana kumbadili mmoja ku mpesa akaudumia wengne Kulko wote kua maskini Kwa upande wangu mi naona ni sawa kbsa ni heli umtoe mmoja ili wengne waishi maisha mazuri naya amani Na ndo maana ata madreva wa mabasi wanaambiwa ni bora kugonga mtu mmoja akafa kulko kuuwa abiria 60 kwenye basi
Ni kawaida sana kumbadili mmoja ku mpesa akaudumia wengne Kulko wote kua maskini Kwa upande wangu mi naona ni sawa kbsa ni heli umtoe mmoja ili wengne waishi maisha mazuri naya amani Na ndo maana ata madreva wa mabasi wanaambiwa ni bora kugonga mtu mmoja akafa kulko kuuwa abiria 60 kwenye basi
Nurain JF-Expert Member Joined Apr 28, 2022 Posts 2,403 Reaction score 5,315 Feb 20, 2025 #102 Kwanini tusimtoe Lucas Mwashambwa kafara Ili tupate utajiri
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Feb 20, 2025 Thread starter #103 Nurain said: Kwanini tusimtoe Lucas Mwashambwa kafara Ili tupate utajiri Click to expand... Itapendeza sana tukimtoa kafara huyu
Nurain said: Kwanini tusimtoe Lucas Mwashambwa kafara Ili tupate utajiri Click to expand... Itapendeza sana tukimtoa kafara huyu
Dukani JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 1,136 Reaction score 1,652 Feb 20, 2025 #104 Hakuna hela za miujiza ndugu,,,weka bidii katika kazi muombe mungu kila uamukapo,weka nidhamu kwenye pesa,weka akiba ukiweza hiyo kanuni wewe ni tajiri,,,utajiri na kila kitu ni mali ya Mungu.[emoji120][emoji120]
Hakuna hela za miujiza ndugu,,,weka bidii katika kazi muombe mungu kila uamukapo,weka nidhamu kwenye pesa,weka akiba ukiweza hiyo kanuni wewe ni tajiri,,,utajiri na kila kitu ni mali ya Mungu.[emoji120][emoji120]