Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Umenena vyema mleta post.

Ndoa na umasikini ni mateso matupu.
Duniani mwanamke anayeweza vumilia njaa hayupo...

Tafuta pesa kwanza,,
Ndoa baadae.
 
Nafikiri uzi ulitakiwa kufungwa baada ya hii comment.
 
Na wazee wakishindwa kutompa unakimbilia kwa hao hao vijana walala hoi ili papuchi yako ikachakatwe vizuri.
 
Najua hauna kingine cha kumuoffer mwanaume zaidi ya kikojo... haya sitaki kulizungumzia hilo maana wengi wenu ndo akili zilivyo.... sasa mimi kama mzee mwenye hela nataka nikuoe ila kigezo uwe bikira.
 
Sasa mbona wazazi wako nao ni . Maskn na hawajatafuta pesa. Na unataka uolewe na aliyezitafuta tayari. Ulishaga muuliza babako kwanini na yeye ni maskni?
 
Ni mbaya sna mwanaume kupata mtoto wa kike bila kujipanga kimaisha , tunakuja kutoa Malaya kama mtoa mada , yeye anachoona cha ku ofa kwa mwanaume ni mbususu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…