msiende kwawazee lakini. sisi tupoTuko pamoja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msiende kwawazee lakini. sisi tupoTuko pamoja mkuu
Okmsiende kwawazee lakini. sisi tupo
[emoji3] hana la kukujibu , umemaliza mkuuKipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
supa womani kasema...😘😘😘😘Washauri pia kwamba hao matajiri kama hujui anaooupatia utajiri wake usithubutu kwenda. Everything has a price. Kuna watu wamepewa masharti kwamba kila mke anaeoa akimaliza mwaka atolewe kama kafara. So ana kazi ya kuoa mikoa na vijiji tofauti. Wengine wanaambiwa oeni mnavyoweza ila siku mkizaa mtoto mjue mtakufa. Matajiri wengine mali zao ni kafara ya damu mwanzo mwisho.
Na ukimkuta hana mda wa hivyo vyote basi kwenye mapenzi hana muda. Yeye anatafuta. Anashinda angani kwenye ndege kuliko amavyoshinda na mkewe. So waambie tu wadada wakiwa wanatafuta hao wazee wenye pesa wawe wameshajua priorities zao kwamba ni shopping na sio mapenzi.
Ukipata bahati ni 1/1000. Goodluck love hunters
Ila gonzare leo umeniamulia😂😂 mi mpole saivisupa womani kasema...😘😘😘😘
Swali konki sanaKipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Subiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
hamna sasaivi nakuelewa sana😅😅😅sibishani nawewe tena mrembo wangu.Ila gonzare leo umeniamulia😂😂 mi mpole saivi
yani mimi ningekuwa wa kwanza kama mambo yangekuwa marahisi hivyo maishani kabisa.Kwaiyo up uchi wako ambao hauna bikra ndo inategemea ukupe Maisha ya uhakika , Kula vizuri , kulala pazuri, kuvaa vizuri gari nyumba nk
Ni wazee wangapi anaweza kukupa hayo Maisha?
Mambo yangekuwa marahisi mgekuwa mnaishi vizuri
Hahahaah sawa mkuu.hamna sasaivi nakuelewa sana😅😅😅sibishani nawewe tena mrembo wangu.