Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

Washauri pia kwamba hao matajiri kama hujui alipoupatia utajiri wake usithubutu kwenda. Everything has a price. Kuna watu wamepewa masharti kwamba kila mke anaeoa akimaliza mwaka atolewe kama kafara. So ana kazi ya kuoa mikoa na vijiji tofauti. Wengine wanaambiwa oeni mnavyoweza ila siku mkizaa mtoto mjue mtakufa. Matajiri wengine mali zao ni kafara ya damu mwanzo mwisho.

Na ukimkuta hana mda wa hivyo vyote vya makafara au pesa zake ni za ku hustle basi jua kwenye mapenzi hana muda. Yeye anatafuta. Anashinda angani kwenye ndege kuliko anavyoshinda na mkewe. So waambie tu wadada wakiwa wanatafuta hao wazee wenye pesa wawe wameshajua priorities zao kwamba ni shopping na sio mapenzi.

Wengine ukiwakuta jua kuna mwanamke alipambana hapo so usiwe chanzo cha kumuondoa huyo aliepambana na mumewe. Wengine mnawakuta wana watoto. Hao watoto hawato wakubali kama mama na watakutukana kwasababu watajua umefuata mali
Of which is true. Kama unapenda wazee mbona umewaacha kijijini kwenu😄

Ukipata bahati ya kupata pazuri ni 1/1000. Goodluck love hunters

NB: Dada, kama una mwanaume wako anabangaiza shikilia hapo. Upendo wa kweli haupo kwenye pesa. Siku zikiondoka sijui utakua mgeni wa nani uko na kibabu chako kinaumwa hoi na huna mapenzi nae. Wavumilieni kina jonsoni siku watainuka tu. Ila msikae hadi in your late 40’s eti unawinda mbaba mwenye hela unaweza kuzeeka na malengo hewa. Take it as it is. Goodluck once again.
 
Kwaiyo huo uchi wako ambao hauna bikra ndo inategemea ukupe Maisha ya uhakika , Kula vizuri , kulala pazuri, kuvaa vizuri gari nyumba nk

Ni wazee wangapi anaweza kukupa hayo Maisha? Mambo yangekuwa marahisi mgekuwa mnaishi vizuri
 
Washauri pia kwamba hao matajiri kama hujui anaooupatia utajiri wake usithubutu kwenda. Everything has a price. Kuna watu wamepewa masharti kwamba kila mke anaeoa akimaliza mwaka atolewe kama kafara. So ana kazi ya kuoa mikoa na vijiji tofauti. Wengine wanaambiwa oeni mnavyoweza ila siku mkizaa mtoto mjue mtakufa. Matajiri wengine mali zao ni kafara ya damu mwanzo mwisho.

Na ukimkuta hana mda wa hivyo vyote basi kwenye mapenzi hana muda. Yeye anatafuta. Anashinda angani kwenye ndege kuliko amavyoshinda na mkewe. So waambie tu wadada wakiwa wanatafuta hao wazee wenye pesa wawe wameshajua priorities zao kwamba ni shopping na sio mapenzi.

Ukipata bahati ni 1/1000. Goodluck love hunters
supa womani kasema...😘😘😘😘
 
Sasa si ukajiuze tu na hiyo k yako nani wa kukuoa bila kuwa na mchango wowote?
 
Yani niliposoma uzi wako nilikuwa na maswali mengi.
1. mzee wa miaka ngapi unayemuongelea hapa ili tukuelewe?.
2. Kwa nini umebase umaskini na ndoa?.
3. Kwani ukiolewa na mwanaune ambaye hana hela ila anabidii na anajua ana wajibu kutafuta hela au ana ndoto utakuwa tayari kumpa support?

Mimi ninaamini nikikutana na mwanaume ambaye hana hela ila anandoto ya kufanya mambo makubwa na anamawazo ambayo yako positive nitamsupport tutapanga mipango ili afanikiwe. ninaimani tutafika pamoja. huwezi jua mwanaune ukimuacha based on umaskini unaweza kuwa unamiss a lot in life.

lakini naungana na wewe iwapo mwanaume ni maskini halafu ana akili za kimaskini hana mafunuo hapo ni kazi kweli kweli. Sio rahisi kuishi na mtu ambaye anategemea umletee kila kitu na ni mwanaume kisa tu anauume hapana. Hio sio poa kabisa. Ndoa ya namna hio ni ngumu sana inabidi mwanaume akaombewe kwa mwamposa.

but my point is that you never know mwanaume utakayekutana naye anaweza kuwa na upendo wa dhati kabisa na atafanya juu chini ile ufanikiwe kwenye ndoto zako na anakutunza vizuri hata kama anakupatia elfu mmoja mwanzoni. its a thought that counts not money.
 
Kwaiyo up uchi wako ambao hauna bikra ndo inategemea ukupe Maisha ya uhakika , Kula vizuri , kulala pazuri, kuvaa vizuri gari nyumba nk

Ni wazee wangapi anaweza kukupa hayo Maisha?
Mambo yangekuwa marahisi mgekuwa mnaishi vizuri
yani mimi ningekuwa wa kwanza kama mambo yangekuwa marahisi hivyo maishani kabisa.
 
Back
Top Bottom