Bora kuolewa na mzee aliyejipanga kimaisha kuliko kuolewa na kijana maskini mwenzio

"maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu."🤭
 
Mke wa Mrema katoka 0-0 Jack wa Mengi katoka 0-0 so ni option yako then ili umpate mzee wa kukupa Maisha hapa Tz sio Rahisi Kama watu wanavyodhani .

Jaribu kumtafta wazee wenye pesa Kama Sugu au Kusaga uone Kama utampata?!
Fact
 
Point sana
 
Sugu sio mzee, ni mtu mzito
 
Sexless umeandika pumba tupu.

Nyie ndo wale mnaowaibiaga waume zenu na kutoroka.
Usifikiri mama yako alimkuta baba yako katika Hali ya kiuchumi aliyonayo Sasa hivi.
Maisha Ni hatua acha kuwa mjinga.
 
Nyie ndio wale tunaowaonaga kwa mwamposa mkimuomba Mungu awape mume yeyote kigezo awe na pumzi yaani uhai tu unatosha
 
Hao wazee matajiri wako wapi wanaotaka kuoa ?!! Wanawake akili hua hawana hata punje. Kila siku mnalia kutafuta mume wa kuwaoa hata konda HAMUMPATI, wewe unakuja na kutaka kuolewa na Jakaya eti ana hela tayari, hivi una akili wewe ?!

haya endelea kuota ndoto yako mama waambukize na wenzako kwamba wataolewa na Bakhresa wakati wewe unaolewa na Mo.
 
Ahsante..nimepona dadaa
 
Mke wa Mrema katoka 0-0 Jack wa Mengi katoka 0-0 so ni option yako then ili umpate mzee wa kukupa Maisha hapa Tz sio Rahisi Kama watu wanavyodhani .

Jaribu kumtafta wazee wenye pesa Kama Sugu au Kusaga uone Kama utampata?!
Yani umesummarize maneno yote kabisa yani wewe umetufungia mada.
 
Sijawah kuona mwanamke mwenye akili primitive kama wewe daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…