Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 2,904
- 7,489
Tutakuwa Kama le mutuz tu!!hahah ..Muda ukifika mtatulia tu!!
Ni mwendo wa bebez tu mpaka uzeeni you know.
Bomaa yeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwa Kama le mutuz tu!!hahah ..Muda ukifika mtatulia tu!!
Maisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.
Na kwa taarifa yako furaha na umaskini havikai pamoja, ni kama maji na moto. Ukiolewa na maskini maana yake ni kwamba umeipiga teke furaha ktk maisha yako. Asikwambie mtu, pesa ndiyo sabuni ya roho.
Kama huna hela utalala sehemu yenye uvundo kama banda la beberu la mbuzi. Huyo mume wako maskini anakuwa amelala huku akikoroma maana amechoka utadhani yuko ICU (ndiyo maana ya mlalahoi). Mate
yanamtoka na kulowesha godoro unaweza kudhani kakojolea.
Utajikuta tu unaamka na kuanza kulia kwa uchungu huku ukimuuliza Mungu; why me? Maisha haya mpk lini?
Na kuna ndharia mpya kuwa maskini hatauona ufalme wa Mungu. Kwasabb kila siku anatenda dhambi ya manung'uniko. Maskini hana shukurani kwa Mungu wake. Kila siku akijisogeza mbele za mola wake anaorodhesha maombi zaidi ya mahitaji yake kwa Mungu. Lkn tajiri kila siku anamtukuza na kumshukuru kwa hatua aliyopiga. Ndiyo maana hisikii tajiri akiangushwa na pepo wachafu.
Umaskini ni ugonjwa. Kwann ? Umaskini husababisha magonjwa ya kizembe na kupelekea mtu kufa kizembe.
Usikubali kuolewa na maskini.
Alitakiwa aseme bora kuolewa na mume wa mtu mwenye pesa kuliko kijana hasiye na pesa, sasa anavyosema mzee hakuna mzee mwenye pesa akawa hana mke wala watotoMtu anaeongea haya baba yake na uzee wote hajatoboa maisha anataka aolewe na kijana wa 28 akiwa ana mafanikio akili za kuwazia tundu la buza.
Tena hajawahi kutoka kijijini kwenda kutafuta utajiri nje ya kijijini kwao
Wazee tunapiga kimoja tu inalala utavumilia?Natafuta Mzee mpweke, mwenye helaa[emoji1787] nimuogeshe mahaba[emoji1787]
Nitamtengenezea juisi ya tende na supu ya pweza🤣🤣Wazee tunapiga kimoja tu inalala utavumilia?
Na papuchi yenyewe unaweza kuta ni marapurapu kama utumbo wa mafungu pale vingungutiKipindi unawaza hivyo, ukiacha papuchi, ni value gani unaenda kuadd kwenye hiyo ndoa/mahusiano?
Na zikizidi pia mtashindwa jicontrol .Subiri wanaume maskini waje wakupopoe ukome.
Pesa sio kila kitu ila muhakikishe zipo za hapa na pale.
huo ulito niutoe wapi lolMtoto mlito!!
Njema kabisa T.huo ulito niutoe wapi lol
habari yako ?
Asante sanaNjema kabisa T.
Mungu mwema.
Kama uko salama Ni jambo la kheri pia kuwa na siku njema
Huyu naniView attachment 2460812
Watu wanatoka mbali Nyie mnowaza life zuri kishamba shamba. Achume uje ule kizembe. Mwisho wa siku kila my atabaki peke yake.
Hutakiwi kupiga bao(ramli) ili kuujua Mwandiko wa mdangajiJinsia gani wewe?
Na sisi hatukubali kuoa wanawake masikini dadangu!!!!Wala hakuna shidaMaisha yetu ni mafupi sana hapa duniani, hivyo tunapaswa kufurahia maisha muda wote. Hii habari ya kuoana na mtu eti mchume wote baadaye mtafurahia maisha haikubaliki. Maana hakuna aliye na mkataba na Mungu, unaweza ukafa the next morning.