Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

Andiko refu limejaa ujinga kwani sifa za makao makuu ni hizo unazo zitaka wewe hayo ni mahitaji yako wewe kwa mtu aliye na akili atajua tu ulicho kuwa unataka kukifikisha kwa watu ni namna unavyo ona magufuli alifuja pesa na sio kuwa dodoma hapa fai kuwa makao makuu
 
Ubora wowote unauona Mbeya hata kama ni kidogo sehemu kubwa ni jitihada zao watu wa mbeya.
Mbeya ilitengwa na serikali toka 1995,walipoamua kuichagua nccr. Umekuwa mkoa wa mapambano na serikali kwa kipindi chote.
Hata wao wanafahamu huwa hawapendwi, fikiria mpaka mwananchi wa kawaida aushambulie msafara wa Rais kwa mawe,siyo jambo dogo.
Inafikia mahali wanaona bora hata wapigwe risasi lakini.siyo kwa kuonewa vile!!
Raslimali zilizowekezwa Dodoma,zingepelekwa hata theluthi moja tu mbeya,ungeishangaa mbeya wewe.
Miundombinu yote huwekwa na serikali kupitia Kodi inayokusanywa kwa wananchi.
Lakini cha kushangaza fedha hizo za umma zimegeuzwa mali ya chama fulani.
Wao ndio wanaamua wapi tujenge barabara,kwa vigezo vya walitupa kura ngapi kwenye uchaguzi.
Naamini kama Magufuli angeendelea kutawala pengine angefikiria kuishusha mbeya siyo kwa chuki zile.
 
Chuki tupu
 
Mbeya pamezidi uhovyo. Jiji lina zaidi ya miaka 30 lakini utadhani limetangazwa kuwa jini jana!!!

Jiji ambalo kila mtu ni nabii hadi wamama duh!!!
Mbeya tangu ipewe hadhi ya kuwa jiji miaka 12 imepita kweli...?
 
Huyu mama ndiyo hataki kabisa kuisikia
 
Jiwe alikwama sana, Dodoma bila kile ki udom chao ingekua sehemu ya kufugia mbuzi tuu
 
Asee mzee umechambua vizuri sanaa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
By the way,tusitake miji mizuri huku wa kuitengeneza hayo majiji na sisi.Vipato vya Watanzania vinaendana na majiji yetu.

Ukienda tu hapo Nairobi ukilinganisha na Dar,unaweza ukasema Dar ni kijiji.

Mji kama Nakuru ambapo ni wa 4 kwa pale Kenya,inaizidi hata Mwanza ambapo ni Jiji letu la Pili.umaskini mbaya sana.
 
Hakika katika vitu vya ovyo vilivyopoteza mabilioni ya pesa kiholela basi ni ujenzi wa hiyo stendi ya Dodoma, na kamwe haitakuja kuturudisha faida.
 
Wewe jamaa bana.

Makao makuu Tena unataka starehe?

Starehe nenda Dar/Tanga n.k

Dodoma ni serikali.
 
Mji wa Mbeya hauko planed kabisa,ndio maana hauvutii hili tatizo la kujenga hovyo tunalo sana waafrica,Mbeya ingekuwa planed vizuri ingependeza kama Edmonton
Hivi lile eneo la Iyunga litakuwa na unafuu kwa miaka hii ya karibuni? Kuna siku nilikuwa natoka Nzovwe nikapita njia ya mkato kwa miguu ili niende nikapande treni! Kuna chocho nilipita, si nikajikuta nimetokea chooni!

Vijumba vilikuwa vimesongamana sana kwenye lile eneo karibu na ile stesheni ya TAZARA Iyunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…