Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ao wenye ndoa wanapanga foleni sasa sii bora tuu iwe wazi watu tuenjoy mwanawaneAcha uzinzi!!. Yaani unakataa ndoa kwaajili upange watu foleni!!!.
Kama unakula kwa urefu wa kamba yako,,,😁 mbuzi vile vileWeee😂😂 mimi sipo ndugu mbuzi😂
😂😂Hii thread umeandika ukiwa juu ya boda boda maana ni inadunda dunda sio poa
Hiyo kweli kabisa, unayevumilia ndiye umtesekaji mkuu yeye ana enjoy maisha, ni afadhali kubaki na amani na kuwaachia ushindi wao.Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
UShauri uchukue au uache....Nyinyi mnaoshabikia usingle na kataa ndoa huwa ni watu wa hovyo sana nyuma ya pszia...take precautions.Ulivyo na akili za upinde unadhani na Kila mtu anaakili kama zako.
Ndiyo ndyoNa wasitutishe
Wapi nimesema nashabikia usingle! Au naunga mkono kataa ndoa!??, Uwe unasoma kwanza uelewe ndipo utoe maoni yako ya hovyo... NonsenseUShauri uchukue au uache....Nyinyi mnaoshabikia usingle na kataa ndoa huwa ni watu wa hovyo sana nyuma ya pszia...take precautions.
Bwana wee mie mpaka nawasiwasi humu tupo na mawakala wa shetani.Ila ndoa kwa hizi shuhuda za humu usipochanganya na zako unaweza jikuta umeshasubscribe kwenye kile chama.
Danga tu but remember no ARVsZamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.
Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".
Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.
Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Mwanamke akishakua amechezea kitombo kirefu kabla ya ndoa akiolewa anasumbua sana ndani hatotulia kamweSitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Wewe ndio uliezingua unajua wanawake mna viushenzi ushenzi fulani yaan mimi niwe provider wako halafu hapo hapo wewe unataka uwe na mamlaka juu yangu hapo hapo unataka uwe unanipanda kichwani hivi hamjiulizagi maswali?Uzi upo kwa ujumla au Kuna sehemu nimesema alinifanyia hili na lile na lile.
Lengo ni " usiyabebe maumivu ya uvumilivu kwa miaka, akizingua sepa kwa Amani, kwa afya ya moyo , nafsi na akili Yako".
NdiyoUshapona mama.
Good to hear that.Ndiyo
Eehh!! Kila mmoja na mapito yake, mapito Yako sio yangu na yangu sio yako.Wewe ndio uliezingua unajua wanawake mna viushenzi ushenzi fulani yaan mimi niwe provider wako halafu hapo hapo wewe unataka uwe na mamlaka juu yangu hapo hapo unataka uwe unanipanda kichwani hivi hamjiulizagi maswali?