Bora niendelee kuwa single

Bora niendelee kuwa single

Ila ndoa kwa hizi shuhuda za humu usipochanganya na zako unaweza jikuta umeshasubscribe kwenye kile chama.
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Hiyo kweli kabisa, unayevumilia ndiye umtesekaji mkuu yeye ana enjoy maisha, ni afadhali kubaki na amani na kuwaachia ushindi wao.
 
Ulivyo na akili za upinde unadhani na Kila mtu anaakili kama zako.
UShauri uchukue au uache....Nyinyi mnaoshabikia usingle na kataa ndoa huwa ni watu wa hovyo sana nyuma ya pszia...take precautions.
 
Wapi nimesema nashabikia usingle! Au naunga mkono kataa ndoa!??, Uwe unasoma kwanza uelewe ndipo utoe maoni yako ya hovyo... Nonsense
 
Zamani kabla ya kuingia ndoani nikiona watu wanaachana nilikuwa najiuliza hivi inawezekanaje mtu amuache mkewe au mumewe waliooana kwa bashasha zote, weee!! Kumbe ulikuwa ni utoto , ukikua utaacha.

Kuna ule wimbo wa darasa unasema " Tembea ujionee Dunia imebeba mengi".

Kweli Kabsaa Dunia imebeba mengi.

Watu hawafanani, hatuwezi kuhukumu kwa ujumla, lakini ukiona amezingua jitoe tu kwa Amani ya nafsi na ya moyo, usiyabebe maumivu kwa miaka mingi , ni hatari kwa afya yako ya akili.

Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.

Sitaki kuleta ushuhuda ila naendelea kuinjoy.
Danga tu but remember no ARVs
 
Afadhali ya ugali matembele kwenye Amani kuliko wali nyama vitani.
 
Uzi upo kwa ujumla au Kuna sehemu nimesema alinifanyia hili na lile na lile.

Lengo ni " usiyabebe maumivu ya uvumilivu kwa miaka, akizingua sepa kwa Amani, kwa afya ya moyo , nafsi na akili Yako".
Wewe ndio uliezingua unajua wanawake mna viushenzi ushenzi fulani yaan mimi niwe provider wako halafu hapo hapo wewe unataka uwe na mamlaka juu yangu hapo hapo unataka uwe unanipanda kichwani hivi hamjiulizagi maswali?
 
Eehh!! Kila mmoja na mapito yake, mapito Yako sio yangu na yangu sio yako.
Muhimu Elewa tu " Usiyabebe maumivu ya uvumilivu kwa miaka , kwa afya ya moyo, nafsi na akili Yako".
 
Back
Top Bottom