Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
Kama ndugu yako ni CCM achana naeeBongo ukiokota makopo hata nzi wanakufuata 😁😁
Usikubali ndugu yako aokote makopo
Lakini matumizi ni dollar 70$ kwa sikukuokota makopo (cans ) kwa wenzetu walioendelea una weza pata hata dollars 100 kwa siku
Inategemea upo jimbo ganiLakini matumizi ni dollar 70$ kwa siku
Kweli yule bro mwashamba tumuache tu apambane na mbwa kwenye dampo😁Kama ndugu yako ni CCM achana naee
Bora nikafanye KAZI yoyote ya aibu ulaya ila bongo noSwala la makopo nila muda wasomi wengi wataokota makopo inakuja hii
Ukisave hyo dollar 30 Kila siku kwa mwezi ni shingapLakini matumizi ni dollar 70$ kwa siku
Unazijua nchi za kiarabu wewe?? Umewai kwenda nchi gani ya kiarabu?Hehe! ni sawa ila usiwashauri watu waende nchi za kiarabu, waarabu ni makatili sana wao wenyewe nchi zao wenyewe lakini wanatamani kuzihama!..
Nafikiri si mgeni wakuona matukio ambayo wanafanyiwa watu weusi wakiwa huko!.. kiufupi naweza ibadilisha kauli yako na nikaiweka hivi "Ni heri uokote makopo bongo kuliko kujitia tamaa kwenda kufanya kazi nchi za kiarabu!".
Sawa.Unazijua nchi za kiarabu wewe?? Umewai kwenda nchi gani ya kiarabu?
Unapajua Dubai
Unapajua Qatar
Unapajua Abu Dhabi
Unapajua Kuwait??
Emu Toka hapa uoga wa maisha mtoto wa kiume utaolewa jichanganye
Mwezi 2 mil na pointsUkisave hyo dollar 30 Kila siku kwa mwezi ni shingap
Alafu hapo unajikaza hata miaka mitatu bila kurudi bongoMwezi 2 mil na points
😂😂😂Kweli yule bro mwashamba tumuache tu apambane na mbwa kwenye dampo😁