Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 704
- 905
Nipe tips za kuanzia
Daa, sijui agents yeyote kwa kweli
Ila tafuta njia tu utazipata
Daa, sijui agents yeyote kwa kweli
Ila tafuta njia tu utazipata
Mimi niko nje ila naona waethiopia na wahindi kibao wanaingia kila sikuNipe tips za kuanzia
Mimi niko nje ila naona waethiopia na wahindi kibao wanaingia kila siku
Wahindi kwa njia ya College Visa na Wahabeshi naona wanaingia na mitumbwi
Sasa chaguo lako
Ila inataka hela kiasi kama $10,000 kukufikisha ha
Hiyo ya Mitumbwi haijakaa njema,hapo kwenye kusoma ndio hizi scholarships naona wanatangaza kwenye media?Mimi niko nje ila naona waethiopia na wahindi kibao wanaingia kila siku
Wahindi kwa njia ya College Visa na Wahabeshi naona wanaingia na mitumbwi
Sasa chaguo lako
Ila inataka hela kiasi kama $10,000 kukufikisha hapa
Tena kama utabahatika
Unaweza kosa vyote pia hata uhai
Sitanii wala kutisha bali ndio uhalisia
Kama unataka kuingia kwa njia ya kusoma anza na Ubalozi wowote wa Ulaya au US
Anza na ubalozi kupata muongozo
Pole sanaTatizo la hii nchi, kupata visa na passport ni shidaa.
Ningeshakua Mambelee mie, yaan inakataa sana, aaaah.