Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
mbona una waza kivivu ndugu graduate?

yaan unawaza kwenda kutumikishwa na wenye pesa ambao huenda hata sio graduates?

why watu mnamisi utumwa?

jiepusheni na uvivu graduates, ajira zipo za kutosha shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara,

wachana na kuwaza kuokota takataka za makopo 🐒
 
Wewe bado mtoto ukikua utaacha

Bado unawenge la chuo
Wenhe
mbona una waza kivivu ndugu graduate?

yaan unawaza kwenda kutumikishwa na wenye pesa ambao huenda hata sio graduates?

why watu mnamisi utumwa?

jiepusheni na uvivu graduates, ajira zipo za kutosha shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara,

wachana na kuwaza kuokota takataka za makopo 🐒
Unaweza kufanya kilimo kibiashara bila mtaji?? Ukute na wewe umeajiliwa serikalini mind set Yako bado tepetepe
 
Kuwa

Kwaiyo mkuu unataka kuniambia kwa kijana kama vipi Bora aanze kutafuta maisha huko kutakuwa na possible ya kutoboa tofauti na bongo??

Mana hata bibi la kizungu poa tu tunaishi
Achana na mashangazi ya kizungu, hao watamaliza nguvu zako tu

Waachie beach boys waliojichokea na kuona maisha ya kulelewa zaidi ya wazazi

Ukipata fursa kwa mfano ukaja 🇬🇧 kuna ajira za kila aina yaani kama laki 2 na nusu kwa siku
Kwa hiyo wewe na uwezo wako tu wa kujituma

Ila kuna anasa za kila aina pia, kwa hiyo ukija kwa dhumuni moja la kuchuma na kuwa na maisha yako sawa

Ila ukichotwa na maisha ya anasa pia ndio hivyo tena
Ndio hao unawaona kutwa wanajinadi kwenye mitandao na kusema ooh Ulaya na Amerika msije hakuna maisha mtakufa na njaa

Hao ni wavuta bangi au ni mvivu anaesubiri dole kutoka serikalini na kuishi kwa kuitegemea serikali na kusingizia ni mlemavu au mwehu

Ushauri ukipata fursa itumie
Ukistaafu Ulaya utalipwa hela zako popote duniani
Ndio maana unaona wazee wanaendesha Porsche na Ferrari mjini kama mimi 😄 🤣 😂
 
mtaji ardhi pesa halmashauri gentleman 🐒
Pesa za almashauri??? Unajua zinatoka kwa vikundi?? Watu kuanzia watano?? Una uhakika watu watano watakuwa na mipango kama yangu??

Ardhi unaipata wapi ya kufanya kilimo Cha biashara!!

Mwisho unajua risk za kilimo wewe?. Umewai kufanya kilimo gani??

Ety hela za almashauri ndio maana anasema akili Yako bado
 
Nenda Veta acha kuhangaika na hiyo Semi-useless degree haina manufaa yoyote haitakuingizia hata senti 1 kajifunze ujuzi mpya kwa miezi 6-9.
Vijana wanaona aibu ila baba akimtuma kutafuta fundi umeme haioni fursa hiyo
Baada ya baba yake kuambiwa alipe laki ya ufundi
 
Pesa za almashauri??? Unajua zinatoka kwa vikundi?? Watu kuanzia watano?? Una uhakika watu watano watakuwa na mipango kama yangu??

Ardhi unaipata wapi ya kufanya kilimo Cha biashara!!

Mwisho unajua risk za kilimo wewe?. Umewai kufanya kilimo gani??

Ety hela za almashauri ndio maana anasema akili Yako bado
basi sawa,
safari njema nenda kwa mguu kaokote makopo Dubai gentleman 🐒
 
Attachments

  • IMG-20250402-WA0027.jpg
    IMG-20250402-WA0027.jpg
    56 KB · Views: 13
Achana na mashangazi ya kizungu, hao watamaliza nguvu zako tu

Waachie beach boys waliojichokea na kuona maisha ya kulelewa zaidi ya wazazi

Ukipata fursa kwa mfano ukaja 🇬🇧 kuna ajira za kila aina yaani kama laki 2 na nusu kwa siku
Kwa hiyo wewe na uwezo wako tu wa kujituma

Ila kuna anasa za kila aina pia, kwa hiyo ukija kwa dhumuni moja la kuchuma na kuwa na maisha yako sawa

Ila ukichotwa na maisha ya anasa pia ndio hivyo tena
Ndio hao unawaona kutwa wanajinadi kwenye mitandao na kusema ooh Ulaya na Amerika msije hakuna maisha mtakufa na njaa

Hao ni wavuta bangi au ni mvivu anaesubiri dole kutoka serikalini na kuishi kwa kuitegemea serikali na kusingizia ni mlemavu au mwehu

Ushauri ukipata fursa itumie
Ukistaafu Ulaya utalipwa hela zako popote duniani
Ndio maana unaona wazee wanaendesha Porsche na Ferrari mjini kama mimi 😄 🤣 😂
Safi kabisa nyinyi ndio binadamu wachache mliobaki kwenye hii Dunia.

Mtaji wa haraka kuja UK direct sina, ila safari yangu utaanza na UAE then Sweden alafu ntaingia united kingdom...!

Kutafuta mbali kwenye maendeleo uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa sanaa.

Sina anasa naweza kupiga kazi yoyote 18 hours kwa consistency ya mwaka mzima.

Najijua anasa haziwezi kuchukua nafasi kwenye maisha yangu hela kwanza.

Ila kuwa kwenye mahusiano na mwnamke wa kizungu nataka nipate viza ya kimahusiano iwe rahis kuingia nchi za ulaya
 
Safi sana, hiyo ni njia nzuri ya kuingia huku.
Ukipata jimama we omba visa tu wapo wengi hata kwenye mitandao ila usije kupigwa na kitu kizito
Wanaijeria wanajifanya wamama wa kizungu
Omba video call 😄 🤣

Just kidding naona huwezi kupigwa kizembe ila wapo hata wanaokuja huko wapo peke yao

Kwa kuomba visa ni kazi sana labda uwe na hela ya kuja kusoma ila nayo kwa bongo vigezo vingi sana

Nakuombea kila la kheri ufanikiwe
Ni kweli ukifanikiwa umeula
Nakuambia unajua kupaka rangi chumba ni kuanzia laki 6 ya bongo mpaka 3m kwa chumba

Ukiwa electrician hela nje nje, kama una skills zozote hata ujenzi wa kawaida sio nyumba bali kupiga ripu au kubadili milango au sinks na hata choo

Jamaa anakuja kutengeneza choo mwezi ujao yaani kubadili vyote mpaka tiles anataka £3000 kila kitu kuanzia vifaa na mkono
Yeye anakula 3m ya bongo kazi ya siku mbili
Ningekuwa na mwanangu yuko bongo fundi ningemleta au ni adapt mmoja 😄
 
Na unatumia Infinix hot 6 poor you😂
Dubai KAZI ya ulinzi kwa mwezi 1.8m mkataba miaka mwili
Apo free transport na accomodations...

Jiongeze
Sorry gentleman,
nilikua na drive,

halafu,
kumbe Tatizo la kutamani ajira ya kuokota makopo ndipo lilipoanzia hapo,
kwamba unamiliki Apple iPhone 16 Pro Max na huna hata bima ya afya ya laki1 but unajiona booooss eti ee? kumbe unawaza ajira ya kuokota kopo 🤣

hata hivyo gentleman ,
mtumishi mchapakazi hodari kama mie, mzoefu na mtaalamu wa masuala mballimbali ya siasa, kijamii na kiuchumi, ambae nina nafasi ya kumiliki chochote nitakacho kwa gharama yoyote ile,

kuna haja gani kubabaika na vitu ambavyo nitamkatisha tamaa graduates? Sihitaji kuvaa, kula, kunywa au kumiliki kifaa cha ghaaaramaaaa, si mtasema anatumia kodi zetu kula maisha gentleman?

hata hivyo,
hiyo ni miongoni mwa picha nyingi ambazo wasaidizi wangu wananitumia kunionyesha maendeleo ya mazao shambani mwangu.
Nina wasaidizi6 na wote wana smartphone hizo 🐒
 
Back
Top Bottom