Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

Sorry gentleman,
nilikua na drive,

halafu,
kumbe Tatizo la kutamani ajira ya kuokota makopo ndipo lilipoanzia hapo,
kwamba unamiliki Apple iPhone 16 Pro Max na huna hata bima ya afya ya laki1 but unajiona booooss eti ee? kumbe unawaza ajira ya kuokota kopo 🤣

hata hivyo gentleman ,
mtumishi mchapakazi hodari kama mie, mzoefu na mtaalamu wa masuala mballimbali ya siasa, kijamii na kiuchumi, ambae nina nafasi ya kumiliki chochote nitakacho kwa gharama yoyote ile,

kuna haja gani kubabaika na vitu ambavyo nitamkatisha tamaa graduates? Sihitaji kuvaa, kula, kunywa au kumiliki kifaa cha ghaaaramaaaa, si mtasema anatumia kodi zetu kula maisha gentleman?

hata hivyo,
hiyo ni miongoni mwa picha nyingi ambazo wasaidizi wangu wananitumia kunionyesha maendeleo ya mazao shambani mwangu.
Nina wasaidizi6 na wote wana smartphone hizo 🐒
Hayo mambo ya wewe ni mtumishi sijui mchapakazi Mimi hayanihusu Brother, huenda Mimi nikikaa sehemu ambayo upo wewe naweza kuwa na performance kubwa kukuzidi, watu wengi serikalini sio competence ni vile tu mna permanent contract. Hayo ya kujisifia sitaki kuyajua ukute umewekeza tu.

Mbili kama unafanya kilimo Cha kutegemea simu tena kupigiwa picha bado Naona una weekeness na bado hujui kilimo, subiri ni suala la muda utalia na kusaga meno.

Kilimo sio passive income Sasa wewe unafanya kilimo mama passive income 😂 Nina wanangu kibao wamegraduate last year wapo German tena walisoma animal science ila wapo huko wanacheza na kuku.

Kuhusu smart phone na bima ya afya
Siwezi kuweka priority kwenye physical asset kama simu kwasababu value yake inapungua kila wakati, wanafanya hivyo ni watoto wenu ambao wamekulia kwenye raha.

Kuhusu bima bro Mimi nipo mwaka wa tatu chuo ila mama yangu nimemkatia bima ya Serengeti NHIF gues what??
Mimi natumia bima ya watoto ya 50400😂😂

Kuhusu KAZI ya ulinzi ni njia tu, lengo langu ni kufika UK hizi zote way to sina mtaji Wala sina support ila najiamini I can do something better.

Kwanza kuajiliwa Utumwa wewe tayari umekaa kwenye poverty chain, mbaya Zaid hata watoto wako huwezi kuwarithisha hiyo kazi na hata ukifa hawaweza kaa hapo.

Gues what kaa chini tulia uone watoto wa masikini tunavyo hustle, poor you 😂
 
Safi kabisa nyinyi ndio binadamu wachache mliobaki kwenye hii Dunia.

Mtaji wa haraka kuja UK direct sina, ila safari yangu utaanza na UAE then Sweden alafu ntaingia united kingdom...!

Kutafuta mbali kwenye maendeleo uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa sanaa.

Sina anasa naweza kupiga kazi yoyote 18 hours kwa consistency ya mwaka mzima.

Najijua anasa haziwezi kuchukua nafasi kwenye maisha yangu hela kwanza.

Ila kuwa kwenye mahusiano na mwnamke wa kizungu nataka nipate viza ya kimahusiano iwe rahis kuingia nchi za ulaya
Mkuu kwenye mahusiano tafuta mmarekani hata Kama yupo hizi nchi zako kwenye huo mpango, process yao ni faster.
 
Hii ishu nilifanya mwaka jana mwishoni nasubiri matokeo mwezi ujao.

Ila naona Trump kaingia na speed ya 480m/h nikajikatia tamaa.

Nadhani atayapiga chini
Ondoa wasiwasi mkuu, Trump Hana power kabisa hapo, that’s an act of Congress hawezi hata interfere nayo.
 
mbona una waza kivivu ndugu graduate?

yaan unawaza kwenda kutumikishwa na wenye pesa ambao huenda hata sio graduates?

why watu mnamisi utumwa?

jiepusheni na uvivu graduates, ajira zipo za kutosha shambani kwenye kilimo na ufugaji biashara,

wachana na kuwaza kuokota takataka za makopo 🐒
Umeona kilimo kilivyowafanya baadhi ya watu mwaka huu?
Kilimo ni DOUBLE CHANCE.
 
Na kwann uokote makopo bongo na kuna vingi tu vya kufanya na degree yako?
 
Bongo unaweza kuwa na akili kama Elon musk ila nchi ikakuona kama mwijaku
 
Mkuu niunganishe na agent nije uko,hapa nilipo sipaelewi elewi
Achana na mashangazi ya kizungu, hao watamaliza nguvu zako tu

Waachie beach boys waliojichokea na kuona maisha ya kulelewa zaidi ya wazazi

Ukipata fursa kwa mfano ukaja 🇬🇧 kuna ajira za kila aina yaani kama laki 2 na nusu kwa siku
Kwa hiyo wewe na uwezo wako tu wa kujituma

Ila kuna anasa za kila aina pia, kwa hiyo ukija kwa dhumuni moja la kuchuma na kuwa na maisha yako sawa

Ila ukichotwa na maisha ya anasa pia ndio hivyo tena
Ndio hao unawaona kutwa wanajinadi kwenye mitandao na kusema ooh Ulaya na Amerika msije hakuna maisha mtakufa na njaa

Hao ni wavuta bangi au ni mvivu anaesubiri dole kutoka serikalini na kuishi kwa kuitegemea serikali na kusingizia ni mlemavu au mwehu

Ushauri ukipata fursa itumie
Ukistaafu Ulaya utalipwa hela zako popote duniani
Ndio maana unaona wazee wanaendesha Porsche na Ferrari mjini kama mimi 😄 🤣 😂
 
Hayo mambo ya wewe ni mtumishi sijui mchapakazi Mimi hayanihusu Brother, huenda Mimi nikikaa sehemu ambayo upo wewe naweza kuwa na performance kubwa kukuzidi, watu wengi serikalini sio competence ni vile tu mna permanent contract. Hayo ya kujisifia sitaki kuyajua ukute umewekeza tu.

Mbili kama unafanya kilimo Cha kutegemea simu tena kupigiwa picha bado Naona una weekeness na bado hujui kilimo, subiri ni suala la muda utalia na kusaga meno.

Kilimo sio passive income Sasa wewe unafanya kilimo mama passive income 😂 Nina wanangu kibao wamegraduate last year wapo German tena walisoma animal science ila wapo huko wanacheza na kuku.

Kuhusu smart phone na bima ya afya
Siwezi kuweka priority kwenye physical asset kama simu kwasababu value yake inapungua kila wakati, wanafanya hivyo ni watoto wenu ambao wamekulia kwenye raha.

Kuhusu bima bro Mimi nipo mwaka wa tatu chuo ila mama yangu nimemkatia bima ya Serengeti NHIF gues what??
Mimi natumia bima ya watoto ya 50400😂😂

Kuhusu KAZI ya ulinzi ni njia tu, lengo langu ni kufika UK hizi zote way to sina mtaji Wala sina support ila najiamini I can do something better.

Kwanza kuajiliwa Utumwa wewe tayari umekaa kwenye poverty chain, mbaya Zaid hata watoto wako huwezi kuwarithisha hiyo kazi na hata ukifa hawaweza kaa hapo.

Gues what kaa chini tulia uone watoto wa masikini tunavyo hustle, poor you 😂
Mweleze huyo
 
Back
Top Bottom