Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

kuokota makopo (cans ) kwa wenzetu walioendelea una weza pata hata dollars 100 kwa siku
Nakumbuka miaka ya 90 huku nje, niliona sehemu wananunua Aluminum, chma, shaba yaani waya za aina zote

Hawa walikuwa jirani nikaona bango wananunua kwa bei nzuri

Basi siku moja nikaona nyumba inavunjwa na wanatupa madirisha na milango ya Aluminum pamoja na waya za umeme
Yanatupwa kwenye skip
Nikauliza naweza kuchukua

Wakaniambia we chukua tu
Niliendea Van kubwa nikayabeba mara tatu, naenda narudi nilipata kama laki 1m ya bongo kwa masaa machache tu

Kwa hiyo huku hela za ziada zipo nje nje ni kuokota tu πŸ˜„ 🀣
Ila ilikuwa enzi za ujana kidogo na kutaka extra cash za safari fupi fupi
 
Kama hautumii Madawa ya kulevya pesa za kuuza mkojo pia unazipiga kibingwa tu😁😁
 
Tatizo la hii nchi, kupata visa na passport ni shidaa.
Ningeshakua Mambelee mie, yaan inakataa sana, aaaah.
Shiriki shindano la Green card ukipata hiyo unateleza tu
 
Mie nataka nifungiwe jela huko sweden, mpango mkakati unakuwaje ili niliwezeshe hili
Kuwa
Kwaiyo mkuu unataka kuniambia kwa kijana kama vipi Bora aanze kutafuta maisha huko kutakuwa na possible ya kutoboa tofauti na bongo??

Mana hata bibi la kizungu poa tu tunaishi
 
Kuwa

Kwaiyo mkuu unataka kuniambia kwa kijana kama vipi Bora aanze kutafuta maisha huko kutakuwa na possible ya kutoboa tofauti na bongo??

Mana hata bibi la kizungu poa tu tunaishi
Eti bibi la kizungu, nyie watu, Woiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mambo ya betting, sitaki kusikia kabisa.
Nataka nipate ki uhalali.
Hahaha sio betting kama unavyofikiri na ukiipata ni kihalali na inatambulika kabisa mbona mwaka jana tz walipiga watu 370 hivi Kenya mpka 2000, sema sisi wazito sana aseee
 
Hahaha sio betting kama unavyofikiri na ukiipata ni kihalali na inatambulika kabisa mbona mwaka jana tz walipiga watu 370 hivi Kenya mpka 2000, sema sisi wazito sana aseee
Mbna kipengele sasa, Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…