Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

Hayo mambo ya wewe ni mtumishi sijui mchapakazi Mimi hayanihusu Brother, huenda Mimi nikikaa sehemu ambayo upo wewe naweza kuwa na performance kubwa kukuzidi, watu wengi serikalini sio competence ni vile tu mna permanent contract. Hayo ya kujisifia sitaki kuyajua ukute umewekeza tu.

Mbili kama unafanya kilimo Cha kutegemea simu tena kupigiwa picha bado Naona una weekeness na bado hujui kilimo, subiri ni suala la muda utalia na kusaga meno.

Kilimo sio passive income Sasa wewe unafanya kilimo mama passive income πŸ˜‚ Nina wanangu kibao wamegraduate last year wapo German tena walisoma animal science ila wapo huko wanacheza na kuku.

Kuhusu smart phone na bima ya afya
Siwezi kuweka priority kwenye physical asset kama simu kwasababu value yake inapungua kila wakati, wanafanya hivyo ni watoto wenu ambao wamekulia kwenye raha.

Kuhusu bima bro Mimi nipo mwaka wa tatu chuo ila mama yangu nimemkatia bima ya Serengeti NHIF gues what??
Mimi natumia bima ya watoto ya 50400πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuhusu KAZI ya ulinzi ni njia tu, lengo langu ni kufika UK hizi zote way to sina mtaji Wala sina support ila najiamini I can do something better.

Kwanza kuajiliwa Utumwa wewe tayari umekaa kwenye poverty chain, mbaya Zaid hata watoto wako huwezi kuwarithisha hiyo kazi na hata ukifa hawaweza kaa hapo.

Gues what kaa chini tulia uone watoto wa masikini tunavyo hustle, poor you πŸ˜‚
 
Mkuu kwenye mahusiano tafuta mmarekani hata Kama yupo hizi nchi zako kwenye huo mpango, process yao ni faster.
 
Hii ishu nilifanya mwaka jana mwishoni nasubiri matokeo mwezi ujao.

Ila naona Trump kaingia na speed ya 480m/h nikajikatia tamaa.

Nadhani atayapiga chini
Ondoa wasiwasi mkuu, Trump Hana power kabisa hapo, that’s an act of Congress hawezi hata interfere nayo.
 
Umeona kilimo kilivyowafanya baadhi ya watu mwaka huu?
Kilimo ni DOUBLE CHANCE.
 
Na kwann uokote makopo bongo na kuna vingi tu vya kufanya na degree yako?
 
Bongo unaweza kuwa na akili kama Elon musk ila nchi ikakuona kama mwijaku
 
Mkuu niunganishe na agent nije uko,hapa nilipo sipaelewi elewi
 
Mweleze huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…