Mimi niko nje ila naona waethiopia na wahindi kibao wanaingia kila siku
Wahindi kwa njia ya College Visa na Wahabeshi naona wanaingia na mitumbwi
Sasa chaguo lako
Ila inataka hela kiasi kama $10,000 kukufikisha hapa
Tena kama utabahatika
Unaweza kosa vyote pia hata uhai
Sitanii wala kutisha bali ndio uhalisia
Kama unataka kuingia kwa njia ya kusoma anza na Ubalozi wowote wa Ulaya au US
Anza na ubalozi kupata muongozo