Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Utawajua mda ukifikaKwa mwenye akili wakati huu wa haki sawa darasa la saba ndiyo mpango mzima.
Akisoma sanaaa basi four or six zaidi ya hapo baba jiandae kulipia matibabu ya mgongo ya mkeo muajiriwa maana anavyokunjwa kwenye meza na viti vya office na boss na stuff wenzake akitoboa 45 yrz spinal cord haijaanza kumsumbua niite umbwa.
Muhimu ajue kusoma na kuandikaBinti yako nae usimpeleke shule kabisa aje kuwa mme bora kwa mme wake itapendeza zaidi.
Zimetokaje kwenye albamu yake, na kuingia kwenye mitandao ya dunia?Picha za watoto hazijasambaa. Wanaosambaza watoto ambao hawahusiki in any way, shape or form ni wajinga, wakatili na washamba wa hali ya juu.
😀😀😀😀😀usioe tu , wewe imagine hadi mke wa pastor kwelii hii ni haki .
Halafu unakuta kwa waume style ni kifo cha mende huku kalala kama gogoKila nikiwaza namna hao wake za wakubwa walivyokuwa wanatoa ushirikiano kwa mshikaji naishiwa nguvu kabisa 😑😑
Kuna wadada wanaojitambua sana by the way, sio kila mwanamke anaweza kuwa mke maana kupata mke au ule uanamke huwa ni process.Itapunguza kwa asilimia fulani, kuliko wanaobeba mikoba kwenda ajirani.
Zimetokaje kwenye albamu yake, na kuingia kwenye mitandao ya dunia?
Muhimu ajue kusoma na kuandika
Wakina fundi Maiko ndio mademu zao mama wa nyumbani Tena wanawapikia kabisa mkuu! Mungu atuepushe na Janga hili,wa nyumbani anakapikia kajamaa kapete nguvu za kuacha,Tena anampa na matunda pamoja na mazagazaga, watoto wengi wanakuwa wetu majina tuu, biological ni watoto wa fundi Maiko!Wa nyumbani utagongewa na Waha wakopesha vyombo na wapaka rangi NB; yanga imetudharirisha leo
Bado tuu atakuwa kagegedwa!Inabidi kutafuta ile dawa ya kung'ang'aniana
Mmezidi Kutoa Mali za wanaume,tushee hela na mazungumzo sio hiyo faragha!Poleni wanaume...
Mnapitia wakati mgumu sana Hadi kupelekwa mkose kujiamini Tena.
Kuna wanawake Wana sifa njema sana tu na wanajitambua.sema vipaumbele vyenu ndo vinwamislead mnaangukia pabaya.Mmezidi Kutoa Mali za wanaume,tushee hela na mazungumzo sio hiyo faragha!
Hivi hadi leo hii haujaoa tu? We kijana unyongwe.Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.
Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.
View attachment 3146509
Duuh hatari, ngoja nikutafute kwa point hii wewe ni mke Bora!Kuna wanawake Wana sifa njema sana tu na wanajitambua.sema vipaumbele vyenu ndo vinwamislead mnaangukia pabaya.
Bora uolewe tu mkuu, hautapata hizo karaha zoteDunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani.
Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa.
Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa nyumbani tu, ataweza kunitunzia heshima na kunisikiliza.
View attachment 3146509
Kwa wahuni itagonga mwamba....shughuli ni ileileInabidi kutafuta ile dawa ya kung'ang'aniana
Hahaaa wanaume wa jf!!Duuh hatari, ngoja nikutafute kwa point hii wewe ni mke Bora!
Mimi ni mwema kama,wewe tuu!Hahaaa wanaume wa jf!!
hutaambulia kitu