Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

Salaam Wakuu,

Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".

Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.

Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.

Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu

Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda

Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.

Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka

KUTOKA 14:11

11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?

12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”

13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.

14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”

15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.

16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.

Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Kweli wewe ni JUHA
 
Hakuna mamlaka za kipumbavu zinazotoka kwa Mungu. Mungu ni Mtakatifu na chochote chenye kumuabudu ni lazima kiwe na huo utakatifu au hata basi kuutafuta kwa nguvu zote huo utakatifu.

Sidhani kama wewe ni msomi, lakini hata ungelikuwa umesoma mpaka form 4 tu ungelitambua kuwa huduma za jamii hazina excuse kwa uongozi wowote ule.

Hatuangalii nani alikufa au kupotea, huo ni uhalifu. Hatuangalii ukosefu wa maji na umeme, huo ni uwajibikaji mbovu wa serikali kwa watu wake. Na kwa kuwa watu wenyewe ni wa caliber yako, basi serikali inatake advantge na kuendelea kukukandamiza, PUMBAVU.

Kiutendaji hakuna kosa dogo kwa wananchi, iwe unawaua, au unawakosesha huduma muhimu wakati wanalipa kodi, yote ni makosa makubwa yanayohitaji kuwajibika. Pole.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Salaam Wakuu,

Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".

Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.

Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.

Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu

Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda

Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.

Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka

KUTOKA 14:11

11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?

12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”

13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.

14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”

15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.

16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.

Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Ngoja waje watu waliozimia na mifuko ya Sangara mkononi .

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
wewe unazani ni wangapi wanakufa kwa kukosa maji, umeme na matibabu?

Umem ni mhimu sana kwenye mahospital na Maji pia.

Umeshiba ugali wa shemeji yako tu ukaanzan kuropoka hapa.
 
Mbona hata utawala huu wa Vasco dagama pro kuna scenario nyingi tu watu wanaokotwa kwenye viroba na mauaji kadha wa kadha?. CCM chini ya huyu bibi Mmefeli kabisa kwenye almost kila kitu. Msidhani watanzania hawaoni upuuzi unaofanyika.
 
😀😀😀 kila mmoja na hitaji lake.

Na harakati zake pia.
 
wewe unazani ni wangapi wanakufa kwa kukosa maji, umeme na matibabu?

Umem ni mhimu sana kwenye mahospital na Maji pia.

Umeshiba ugali wa shemeji yako tu ukaanzan kuropoka hapa.
😂😂😂😂😀😀Kichwa habari tu ni kichekesho tosha
 
Mbona hata utawala huu wa Vasco dagama pro kuna scenario nyingi tu watu wanaokotwa kwenye viroba na mauaji kadha wa kadha?. CCM chini ya huyu bibi Mmefeli kabisa kwenye almost kila kitu. Msidhani watanzania hawaoni upuuzi unaofanyika.
Membe alisema hakutakuwa tena na kuokota miili kwenye viroba.
 
Hizo lawama zote kisa ni uhaba wa maji kwenye jiji lenu?, hata hivyo pole hizo tabu ndiyo ndugu zenu huku vijijini tunazopitia miaka nenda rudi.
 
walifanya kazi pamoja na kama alifanya mabaya basi huyu wa sasa na yeye na anahusika kwa sababu alijua nini kinafanyika
Asinge fanya kazi na adui yetu! akamjua barabara! tusingekombolewa hadi hivi leo!.......lazima ukae na adui ili umjue vizuri! na pa kuanzia pawe bora! big up alifanya kazi nzuri!

hata shetani aliishi kwa Mungu!
 
Yakikosekana maji si viroba tu, Bali wote mtakufa! Kuna watu wajinga sana nchi hii
Wachache ndo wanyeupeo kama ww naona machawa wanagawana tu kodi zetu hapa na wamekuja kupongezana na kufungua vituo vya mafuta kila mahali
 
halafu
Utawala wa Jiwe umeua watu wengi mno... jamaa hakuwa mtanzania yule roho ngumu ka ya paka. RIP Ben Saanane.
aliua watu wa kawaida kabisa! kwa kujifurahisha tuu yaani walala hoi!....tundu lisu yule alikuwa ni ni wakukamata tu sioni haja ya kupoteza risasi nyiiingi na mafuta ya magari yalo tumika!
 
Hao watu wengi walikuwa wanafanyaje hadi wauliwe?
Alikuwa ana Anagema damu za watanzania ya kufanyia tambiko la kudumu Madarakani! ili atawale milele km mkondefu alilo ambiwa na mganga wa Kagame mkondefu!....

si unaona alikimbilia kwa kagame faster baada ya kuapishwa??.....Kagame alimtoza hela ndefuuu.....lkn kagame nina jambo naye kuhusu Mauaji ya kimbali!
 
Wa Tanzania hatuna akili tukianza na mtoa mada [emoji706][emoji706]
Akili zinatoka wapi kila wakati wao maisha mazuri ni kuiba kodi zetu na kuja kufungua patrol station wakakamwtwa wamakimbilia huku kwenye mitandao
 
Back
Top Bottom