Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Katika ulimwengu wa Ki-Roho yule Jiwe alishakufa miaka saba nyuma kabla! Tanzania ni nchi ya kwanza Duniani kuongozwa na Mfu!....kuna Nabii wa kitanzania humu u tube! alitabiri kifo hiki! (mtafute)Hatari zaidi ni kuwa na mtawala dikteta, halafu mtawala huyo dikteta awe aliwahi kuugua magonjwa ya akili. Na magonjwa ya akili, kama tunuavyo hayaponi kwa 100%.
Tulipita njia yenye giza nene sana. Mungu alivyo mwema, muongoza njia akauma magego, ndo ilikuwa salama yetu.Salaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Mimi navyojua mambo kama hayo ya kutoa kafara vifo vyake sio hivyo vya kutekelezwa na wasiojulikana.Alikuwa ana Anagema damu za watanzania ya kufanyia tambiko la kudumu Madarakani! ili atawale milele km mkondefu alilo ambiwa na mganga wa Kagame mkondefu!....
si unaona alikimbilia kwa kagame faster baada ya kuapishwa??.....Kagame alimtoza hela ndefuuu.....lkn kagame nina jambo naye kuhusu Mauaji ya kimbali!
Kwani kwenye huu ukame hata kama angekuwapo angefanya nini Magufuli? Hivi mnapoandika mnajaribu hata kusoma taarifa za South Sudan, Kenya na Ethiopia kuhusu ukame?Sasa msihalalishe huu udhaifu wa kukosa umeme na maji kwa kukumbusha mambo yaliyopita, ni kweli kwamba jamaa alifanya uhalifu na mambo yasiyofaa, ila isiwe kichaka, tunataka maji na umeme wa uhakika.
1.Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na RufijiHebu tuulizane kitu kimoja, hao watu waliyokuwa wanauliwa katika utawala uliyopita walikuwa ni kundi gani la watu kwa maana ni wananchi tu wa kawaida? Waaandishi wa habari? Wanasiasa? Wafanya biashara au ni kundi gani hasa?
Hapa napoandika Tanesco washafanya yao muda huu huu.
Shida ya umeme ilianza kabla hata ya ukame.Kwani kwenye huu ukame hata kama angekuwapo angefanya nini Magufuli? Hivi mnapoandika mnajaribu hata kusoma taarifa za South Sudan, Kenya na Ethiopia kuhusu ukame?
Sababu za mauwaji ni zipi?1.Mauaji ya akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wale zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji
2. Kumshambulia Tundu Lissu
3. Kumtuma yule hayawani Makonda kuvamia kituo cha Clouds
4. Kumteka Mo Dewji na Roma Mkatoliki
5. Wale waliokuwa wanatupwa kwenye viroba baharini na mto Ruvu.
Kweli Tanzania ni mahali salama bila dikteta Magufuli
Najua hakuna yeyote wa CCM angefanya kitu, ni vile hawa chawa wengine wanataka kujifanya wao watakatifu sana, wamchafue mwingine ili wao tuwaone bora wakati wote ni zao moja.Kwani kwenye huu ukame hata kama angekuwapo angefanya nini Magufuli? Hivi mnapoandika mnajaribu hata kusoma taarifa za South Sudan, Kenya na Ethiopia kuhusu ukame?
Bado una mimba ya magufuli ukihifungua akili itakaa sawaSalaam Wakuu,
Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi".
Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi.
Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala au kuhoji matumizi ya fedha za Serikali.
Tukamuomba Mungu na kusoma albadiri ili atuepushie na kikombe kile, Mungu akasikia maombi yetu
Sasa leo kuna watu wamekosa maji na umeme kwa siku kadhaa wanatamani kurudi utumwani Mungu alikotutoa na wanamlaumu Mungu kwanini katutoa kule ambapo mtu alikuwa hajui kesho yake kama ataamka salama. Mbona vijijini watu hawana Umeme na Wanaishi? Itakuwa huu umeme wa kukosa mwezi mmoja ndo utamani kurudi Misri? Jipe moyo Utashinda
Hata Wana wa Israel walipookolewa Misri utumwani walitamani kurudi huko. Ndo hawa wanaotamani kurudi tulikotoka.
Nawatia Moyo, tulieni tuiunge Mkono Serikali na Mamlaka yake kwani Mamlaka ya Serikali yanatoka kwa Mungu. Giza likiwa nene kunakalibia kupambazuka
KUTOKA 14:11
11 Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
12Je, hatukukuambia mambo haya tulipokuwa bado Misri? Tulikuambia utuache tuendelee kuwatumikia Wamisri. Ingalikuwa afadhali kuwatumikia Wamisri kuliko kufia huku jangwani.”
13Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
14Mwenyezi-Mungu atawapigania; nyinyi mnachotakiwa kufanya ni kutulia tu.”
15Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele.
16Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Viongozi wetu washainua Fimbo juu, tutavuka salama
Kwa vyovyote vile kama bwana yule alikua mchafu na yeye ni mchafu tuuuAsinge fanya kazi na adui yetu! akamjua barabara! tusingekombolewa hadi hivi leo!.......lazima ukae na adui ili umjue vizuri! na pa kuanzia pawe bora! big up alifanya kazi nzuri!
hata shetani aliishi kwa Mungu!
Waulize akina Makonda, Bashiru, Polepole au Sabaya.Sababu za mauwaji ni zipi?
Kwahiyo wewe unajua wauwaji tu ila hujui sababu za mauwaji?Waulize akina Makonda, Bashiru, Polepole au Sabaya.
Yeye Mama si Mchafu! ilaKwa vyovyote vile kama bwana yule alikua mchafu na yeye ni mchafu tuuu