Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

Muheshimiwa Supika Taharifa
 
Wewe wasema tuwe wavumilivu lakini wakati huo tunakamuliwa tozo na kodi bila huruma na pesa za umma zinaliwa kama senene
 
Kwani umesahau juzi tu hapa viroba viliokotwa?, au unajisahaulisha tu?
 
Bora aisee.
 
Acha kupoteza muda unajifanya hujui?
 
Huwa nashangaa Sana watu wanavyo msema bwana yule na kumuona wa sasa hivi kama ni malaika, na wakati walifanya kazi pamoja na kama alifanya mabaya basi huyu wa sasa na yeye na anahusika kwa sababu alijua nini kinafanyika
Unajifanya kushangaa tu.
 
Siku kibuyu cha asali ukipokonywa ndy akili zitakurudia.,
 
Hawa hawana tofauti na wamisiri ya Musa
 
Kwaiyo unaunga mkono utawala huu uoni ndugu zako wanavyolia njaa uko vijijini,ukute hata mamako anauza papuchi ili aweze kumudu ghalama za maisha wakati watu wanalamba asali tu
Wajinga hao. Badala walime wapate mazao walikalia ujinga tu wa ccm mbere kwa mbere🤣🤣
 
S.T.U.P.I.D! Hao wa kwenye viroba unajua walikua kina nani? Where you sure kwamba wameuwawa na huyo unaemuhisi? Unawaza kwa kutumia kiungo gani cha mwili? So wanaharakati mlichokua mnakipigania kipindi kile against JPM Kilikua nini maana sasa hali ni mbaya zaidi ila mmeufyata kazi kusifia tu kama manyumbu
 
Sasa msihalalishe huu udhaifu wa kukosa umeme na maji kwa kukumbusha mambo yaliyopita, ni kweli kwamba jamaa alifanya uhalifu na mambo yasiyofaa, ila isiwe kichaka, tunataka maji na umeme wa uhakika.
Huko nyuma mliyapata
 
Endelea na ngonjera hizo labda machawa wake watakufisha kwake upate uteuzi
 
Nairobi yenyewe hakuna maji na watu wanajua ni kwasababu ya Drought.

Sijawahi kusikia wakisema ni sababu ya Ruto

Sisi sijui tumelaaniwa na nani?
 
Nairobi yenyewe hakuna maji na watu wanajua ni kwasababu ya Drought.

Sijawahi kusikia wakisema ni sababu ya Ruto

Sisi sijui tumelaaniwa na nani?
Aina ya uongozi wake mwenyewe Samia ndio unafanya alaumiwe hata kwa ambavyo viko nje ya uwezo wake, kwa yanayoendelea nchini ni wazi nchi imelaaniwa kwa sasa full majanga tu.
 
Aina ya uongozi wake mwenyewe Samia ndio unafanya alaumiwe hata kwa ambavyo viko nje ya uwezo wake, kwa yanayoendelea nchini ni wazi nchi imelaaniwa kwa sasa full majanga tu.
Hii Nchi kulalamika imekuwa too much ndio maana Magufuli aliwaziba midomo wakawa wanaogopa hata kufungua midomo.
 
Hii Nchi kulalamika imekuwa too much ndio maana Magufuli aliwaziba midomo wakawa wanaogopa hata kufungua midomo.
Hao waliyozibwa midomo wakati wa Magufuli sasa ndio wameifungua au bado hawajafunguliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…