Unajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.Inawezekna kula na Bo's wako
Lakin before unafaakuangalia
Malengo yake na ww hasahasa
Kwa kina Dada Sasa ona Zama
Alilazalishwa mara 2 inamaana
Hakua anaona mwelekeo
Wa bos wake na yy after kuzaa mtt wa 1
Nimeshangaa sana... labda wanaooa huwa wanashikiwa akili na wake zao hivyo kupoteza umakini.Hivi kumbe waliooa sio watu makini?
Mungu akusaheme Mkuu.
Na kweli mapenz yameteka duniaMapenzi kaka angu na ukizingatia alivyomuachisha kazi alimfungulia duka akaona sawa tu tena anaenda kuwa mke wa tajiri. Ila mimi huo ujinga mume wangu asiniletee kabsaaa, akiniachisha kazi anifungulie biashara inayohusiana na elimu yangu sio nimesoma sheria ukanifungulie biashara ya pharmacy
Alikua anajua mbona kuwa jamaa ana mke ila aliona kwa kuwa wana asili ya uarabu ingekua simple tu kuongezwa mke wa pili.Na kweli mapenz yameteka dunia
Na c ajabu unakuta Fett alikua anajua
Anaenda kuwa mke wa pili
Sasa afkir itakua ize kuolewa
Ujue amemtukana yake baba mzazi?Nimeshangaa sana... labda wanaooa huwa wanashikiwa akili na wake zao hivyo kupoteza umakini.
Kwa hlo apewe hongera lknUnajua nyie wanaume mnajua sana kutumanipulate? Sasa Zama baada ya mtoto wa kwanza boss akatangaza nia kwa kulipa mahari ila bado boss akawa anachelewesha ndoa. Wanawake wengi tunadanganywa kwa style hii ya pete na mahari halafu ukijashtuka umri umeenda unabaki kukaa kwenye relationship isiyo endelea ila Zama kachukua chake mapema nimempongeza kwa hilo.
Itakua babake hakuoaUjue amemtukana yake baba mzazi?
Manake baba yake hakuwa makini alivyomuoa mama yake? ( sijui kama baba yake aliona lakini)
Dooh!Itakua babake hakuoa
Unaongelea one year???? watu wanakaa 7yrs na wanaachana... tatizo hivi vitu ni kama destiny tu. Unakutana na mtu hata miezi miwili hammalizi anatangaza ndoa, mwingine miaka hata mitano haonyeshi dalili. Mfano yule thuwein makamba na Victoria wamezaa watoto mpaka wanasoma ndo wameoana.Kwa hlo apewe hongera lkn
Alichelewa kuchukua maamuz
Kama hayo cjui mtu unakaaje kwenye
Uchumba zaid ya 1year wanaume na
Cc kwakuwapotezea tim tuko
Mbelee
Hayo ndo tunaita makosa ya kujitakiaAlikua anajua mbona kuwa jamaa ana mke ila aliona kwa kuwa wana asili ya uarabu ingekua simple tu kuongezwa mke wa pili.
Mhhh!! Mwenzenu atakujaUjue amemtukana yake baba mzazi?
Manake baba yake hakuwa makini alivyomuoa mama yake? ( sijui kama baba yake aliona lakini)
My be alibahatka kuolewaItakua babake hakuoa
Povu huku lishazoeleka..Mhhh!! Mwenzenu atakuja
Kuwamwagia povu
Shauri zake.Mhhh!! Mwenzenu atakuja
Kuwamwagia povu
Hahahaahhaaa... sasa wewe ndo unalichochea povu kwa kasiMy be alibahatka kuolewa
Hili tatizo la kuzee kiwaUnaongelea one year???? watu wanakaa 7yrs na wanaachana... tatizo hivi vitu ni kama destiny tu. Unakutana na mtu hata miezi miwili hammalizi anatangaza ndoa, mwingine miaka hata mitano haonyeshi dalili. Mfano yule thuwein makamba na Victoria wamezaa watoto mpaka wanasoma ndo wameoana.
Dua la kukuNdio hivyo kama naona VIH inavyowauaaa
Ila sisi hatuna uchumba sugu sana kama wazungu..Hili tatizo la kuzee kiwa
Kwenye uchumba n ttz sugu
Kwa Africa yan unakuja kufunga
Ndo na watoto wako wakat Mmoja
Sasa nan atampokea mwenzake
Walaaah mm napga tu songaHahahaahhaaa... sasa wewe ndo unalichochea povu kwa kasi