HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Nyerere alipochukua nchi hakufikiria miaka 50 Mbele, alijiwaza yeye ndio maana Katiba yetu ikawa mbovu. Aliondoka tu pale ambapo aliona mapinduzi yamezidi.Kuna watu walikuwa na laana na wanasifiwa bado
Huwa hatujii tofauti ya uzuri na ubaya
Means wengi hawana akili ya ku reasoning
Huyo ndio aliharibu kila kitu
Nyerere hakuwekeza katika upangaji wa miji na vijiji na hili ni moja wapo ya tatizo kubwa linaloiumiza nchi.
Nyerere aliendeleza mfumo wa utawala wa wakoloni
Hakuwekeza katika Elimu bora.
Wakulima wa zamani walitumia zana kuvuna na kupanda, Nyerere kwa uoga wake akataifisha mali zao, kilimo ndio kikafia pale.
Azimio la Arusha lilirudisha molari ya uwekezaji Tanzania.
Tungekuwa na Katiba nzuri leo hii isingetokea mtu anatoka huko alipo na kuja badilisha chochote anachoona hakimpendezi yeye