Boss kajiunga kwenye Group la Danguro la Telegram

Ata gangster hulegeza macho πŸ˜‚
Siyo kwa yule mzee ukiitwa nae kwaza unakazi ya kuuliza mara mbili huo salama kweli ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa now sitacomment ujinga ujinga
 
Embu Semeni Kbs, ndo Wapi Huko..?

Enzi hizo Telegram ilikuwa ni just Communication iliyokuwa inatumia telegraph.
 
Algorithm za mitandao ya kijamii wengi hawana ufahamu nao mfano telegram mtu akiwa kweny group unamuona moja kwa moja kwa jina ulilomsave kama namba yek unayo ,na hata akijiunga kwa mara ya kwanza telegram unapata notification mtu fulani amejiunga na unajua kabisa.

Facebook hata ukoment kweny page yeyote ile ambao friends zako hawapo basi wao wataiona moja kwa ile post kupitia comment yako na hapo kama ulikoment ujinga basi wanaona kabisa ...Unakuta page za mambo ya zinaa mwanamke kajipost nusu uchi then unamuona hata babaako kakoment "nice picture"🀣🀣
 
Dah usipokuwa makini heshima yako inapitea πŸ˜‚πŸ˜‚ kisa nice picture au kishundu ichooo nimekiona πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana

Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae

Wewe mwenyewe boss wako atakua anashanga kukuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…