Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Hawa wanaitwa Bahari pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawana vigezo vya kukopa benki.Kwanini ukakope vikampuni uchwara?
Una shida Ela ya chap, kakope kwenye mabenki na taasisi zinazoeleweka
Juzi kati nmevuta laki 5 na 55 benki ya nmb, riba elfu 68 Kwa siku 14
Deadline Yao tar 5 mwezi huu na sijapigiwa simu au sms yoyote ya vitisho.
Sasa hadi wabunge wanapata hizo msg unadhani kwenye contacts zao wana watu wa hovyo? Hizi kampuni ndio za hovyo kabisaDah! Halafu ukute una heshima zako kwenye jamii.
Sasa ungekua umekopa kwenye online apps hiyo laki 5 ungelipa laki 8 tena kwa wiki moja, na ungekula matusi na vitisho juuKwanini ukakope vikampuni uchwara?
Una shida Ela ya chap, kakope kwenye mabenki na taasisi zinazoeleweka
Juzi kati nmevuta laki 5 na 55 benki ya nmb, riba elfu 68 Kwa siku 14
Deadline Yao tar 5 mwezi huu na sijapigiwa simu au sms yoyote ya vitisho.
Wanaposema katumia taarifa za watu binafs, wanamanisha nini kama huyu ni mkopaji?Hebu cheki wanavyochafua watu. Na saizi hawaandiki jina la kampuni makusudi ili wasishtakiwe. Hawa wafungiwe tu
View attachment 3131608View attachment 3131608
Kiufupi hawa ni matapeli na wanafanya kublack mail watu. Kuna kesi nyingi tu za watu ambao ukimaliza kulipa wanaendelea kukuzingua wanasingizia malipo hayakuingia uwatumie wao pesa kisha wao walipe. Na unakuta mtu alishalipaWanaposema katumia taarifa za watu binafs, wanamanisha nini kama huyu ni mkopaji?
Makampuni ya mikopo ndio yanayotumia taarifa binafs kudhalilisha watu. Sass huyu yeye katumiaje hizo taarifa kudhalilisha watu?
Kama wanandai, basi watakuwa wameamua tu kumchafua baada ya kushindwa kulipa deni lao ndio wameamua kusambaza picha yake.
Au alkkopa kwa kutumia majina na taarifa za watu wengine?
Hakuna lolote hapa. Hizi ni sinemaWakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa.
Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'
Tabia hiyo ilifika hatua mbaya zaidi kiasi cha baadhi ya kampuni kuanzisha magroup ya Whatsap na kuadd baadhi ya contacts unaowaheshimu na kuweka picha za wadeni wao ili kuwapa presha za kulipa madeni wanayodaiwa.
Siku ya jana BOT walitoa muongozo rasmi kujibu vilio vya wananchi ambapo katika muongozo huo, BOT umeweka miongozo ifuatayo (Nime-summarize)
Hayo ni machache tu wakuu.
- Hairuhusiwi kwa kampuni moja kumiliki apps mbili au zaidi za mikopo
- Kampuni za mikopo haziruhusiwi kushare taarifa za mteja kwa watu au makampuni za nje ya nchi
- Hairuhusiwi kwa kampuni za mikopo mitandaoni kukusanya namba za simu, meseji, picha, email au taarifa nyingine zozote kwenye simu yako
- Mdhamini wa mteja ni lazima afahamishwe kuwa amechaguliwa kuwa mdhamini na akubali
- Watu wa huduma kwa wateja hawaruhusiwi kutumia lugha chafu na kejeli kwa wateja
- Ni marufuku kuchapisha taarifa za mteja mtandaoni iwapo atafeli kulipa deni
- Ni marufuku kwa kampuni kumtaka mteja kulipa riba au pesa yote anayodaiwa kabla ya tarehe ya makubaliano
- Ni marufuku kutuma meseji kwa contacts za mteja ili kumuonesha kuwa anadaiwa
Ningependa kuwapongeza BOT kwa kusikiliza kilio cha watanzania wengi.
Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia website ya BOT
Nawasilisha
Serikali ilitakiwa iyajue yote haya na kuweka masharti yote kwenye leseni zao wanapotoaebana leo ndo nimejua serikali kweli inaafanya kazi nilishaanza kusumbuliwa leo na pdf ndo linatoka.