Duh!...tukifika hapo walipo wao watakuwa wapi ?..gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Umelishwa propaganda za Wakenya mpaka umekuwa zuzu.siyo kweli, huyo ni uongo tuliolishwa tangia enzi zile ili ionekane kama mfumo wetu wa uchumi ni bora, na ushahidi wangu wa kwamba siyo kweli "on the ground" watanzagiza wanafanya vizuri uko hapa, masikini wa tanzagiza wanahamia kenya ukienda kenya sehemu kubwa ya omba omba mitaani wanatokea tanzagiza vs wakenya hakuna omba omba anayehamia tanzagiza kuja kuomba hivyo hakuna ushahidi mkubwa zaidi ya huo kwamba maisha ni magumu zaidi kwa masikini tanzagiza klk kenya.
pili ukiangalia wahamiaji wa pande zote mbili wakenya wanaokuja tanzagia wengi wanakuja kama experts na wengine kufanya biashara i.e wanakuja na mitaji vs watanzagiza wanaohamia kenya wanaenda kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza gengeni au mitumba nairobi kuna masoko ya mboga mboga yamejaa watanzania hivyo hiyo ina-debunk uongo tuliolishwa siku yote kwamba maisha ya mtanzagiza wa kawaida ni bora klk maisha ya mkenya wa kawaida ...
Nitahamia huko hasa Namibia ni kuzuri sana japo ni arid country.gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Hebu gawanya GDP ya Tanzania kwa population ya kenya au ya uganda tuone ikojegdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Kuhusu dhahabu Uganda wanayo update taarifa zakogdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Hebu gawanya GDP ya Tanzania kwa population ya kenya au ya uganda tuone ikoje
sijaelewa unachomaanisha, hii ni gdp per capital na hii ndiyo defination yake kwa mujibu wa wiki: " gross domestic product (GDP) per capita is the total value of a country's finished goods and services (gross domestic product) divided by its total population (per capita)"
Ninamaanisha Tanzania iweke mkakati wa kuongeza gdp na wakati huo huo ipugunguze ongezeko la watu kwa njia zozote zile—kisheria e.g. 2 kids/family; tube ligation; castration etc
Tanzania inaharibika kwa ufisadi nothing else
Kuhusu dhahabu Uganda wanayo update taarifa zako
Kwani Hawa hawaonewi wivu na mabeberu? Ah Hawa mabeberu Hawa?Botswana
Namibia
Aee owned by GERMAMS.
Very few PEOPLE, and hwnce High GDP per Capita.
DESERTS.
Though, better use of their Natural resources.
Sahihiwajerumani hawana uhusiano wowote ule na Botswana, usichanganye historia ya Nambia na Botswana,
Sizungumzii kuwa Koloni.namibia ni kweli ilikuwa ni koloni la Ujerumani so what hata sisi tulikuwa koloni la Ujerumani pia wakati fulani.
Binafsi, naona tunawaona wamefanikiwa kwasababu ile nchi ina watu Milioni 5 hawafiki.Botswana ni wenyewe tu walibarikiwa kupata viongozi wazuri na wenye maono walioweka maslahi ya nchi kwanza na siyo wizi na nepotism ...
Hizo nchi ni jangwa jweli, na hapo ndipo hoja inapopata nguvu,, wamewezaje? Tunashindwaje?Sahihi
Sizungumzii kuwa Koloni.
Hoja yangu ni kuwa mazalia ya wajerumani, mpaka leo bado wanamiliki ARDHI Namibia milele yote.
Binafsi, naona tunawaona wamefanikiwa kwasababu ile nchi ina watu Milioni 5 hawafiki.
TZ, kwa Dar es Salaam pekee kuna watu karibu Milioni 8.
Mwisho wa siku, hizi nchi ni jangwa sana
Population ya Nchi zote mbili kwa pamoja haizidi Watu Million 7. Ni sawa Uchukue pato la Namibia na Botswana uligawe kwa watu wa Dar tu, ni wazi hawatakamatika.
Weww shabiki wa simba unadharau kweli weweBotswana uchumi wake ni madini na uuzaji wa nyama ya ng'ombe nje ya nchi, vyote hivyo Tanzania wanavyo na asilimia kubwa ya wataalamu ni raia wa Tanzania na wazungu waliokuwepo Tanganyika Pakers.
Walichotuzidi wenzetu ni kutumia rasilimali walizonazo kwa manufaa ya nchi na sio kwa manufaa ya viongozi kama hapa kwetu.
Tanganyika Pakers kiwanda kilifungwa sasa hivi ni ebeo la maombezi ikiwemo kwa watu wanaokosa ajira.
Njoo mkoa wa lindi uone umaskiniShida yetu ni kwamba hatuna mifumo rasmi ya kutoa taarifa, watu wetu wana mapato makubwa zaidi
Wenzetu wame industrialize kidogo zaidi yetu lakini uchumi wao unaendeshwa na watu wachache
Sahihi
Sizungumzii kuwa Koloni.
Hoja yangu ni kuwa mazalia ya wajerumani, mpaka leo bado wanamiliki ARDHI Namibia milele yote.
Binafsi, naona tunawaona wamefanikiwa kwasababu ile nchi ina watu Milioni 5 hawafiki.
TZ, kwa Dar es Salaam pekee kuna watu karibu Milioni 8.
Mwisho wa siku, hizi nchi ni jangwa sana
Soyo productivity.hii ni gdp per capital maana yake goods and services produced in a country divided by population au bidhaa zote zinazozalishwa kwenye nchi husika gawanya kwa idadi ya watu wa nchi hiyo hivyo kuwa na population kubwa au ndogo hakuathiri chochote bali productivity ya nchi ndiyo inaamua pato la wananchi.
mbona tanzagiza is richer than rwanda, burundi au hata malawai wakati population ya rwanda, burundi na malawi ni ndogo klk ya tanzagiza?
hapa inapimwa productivity ya nchi au uzalishaji pamoja na pato la wananchi kwa mfano mwalimu wa shule ya msingi ya serikali namibia analipwa ~1000 usd /month sasa linganisha na tanzagiza mwalimu wa shule ya msingi analipwa kiasi gani kwa mwezi? sasa hiyo haina uhusiano na population kama ni kubwa au ndogo bali ni productivity ofcourse kama population inakuwa kwa kasi klk uchumi then itaathiri pato la nchi.
hivyo kisingizio cha udogo wa population kimekuwa- debunked …