Natumia HDI, GNI na maisha ya watu.
China anatoa huduma kwa wananchi wake ambazo US amefeli.
China ana watu 1.4B ila hana mtu analala nje.
US ana watu 300M ila hali ni mbayaaa.
Unatumia nini, AI tools au???lkn mbona hata vigezo vyote ulivyovichagua bado china iko chini tena sana tu kulinganisha na USA? USA has higher human development index klk china tena kwa mbali tu? plus mbona Botswana na Namibia bado tu wako juu kwenye human development index pia? una kisingizio gani kingine? ...
Check , PPP.hapana, datas za imf na world bank ziko open kwa kila mtu kuona ...
Check , PPP.
GDP measured by purchasing power parity (PPP), along with manufacturing output, goods exports, and foreign exchange reserves.
Tunajadiliana au unakaza tu fuvu.mbona sasa unasogeza magoli ili tu ku-fit matokeo unayoyataka wewe? mwanzoni gdp umeikataa, ukaleta mambo ya hdi nikakuonyesha hata hdi Botswana na Namibia bado wako vizuri sasa umekuja na ppp, hapo hapo mwanzoni gdp uliipinga kwamba ni utapeli kwa hiyo ppp ndiyo iko sawa wakati bado ppp ni gdp uliyoipinga mwanzoni? …
Uchumi wa Tz itakuwa karibu na wa kenya wala sio Uganda. Tatizo ni moja tu. Dara na takwimu.atleast miaka ya 60 na mpaka 70 naweza kuelewa kwa nini ug walitupita/walituzidi kwa maana uchumi wa uganda ulikuwa integrated fully na capitalistic economic system ya kenya, uganda ilikuwa ni kama tu sehemu ya uchumi wa kenya lkn miaka hii uganda kutupita ndiyo sielewi kwani ukiangalia uchumi wa uganda kwa sehemu kubwa bado unategemea kilimo hasa kahawa (ambapo sisi tulishatoka huko kwenye kutegemea kilimo) vs tanzagiza tuna dhahabu, makaa ya mawe mpaka almasi nafikiri kwa kiasi fulani plus tourism industry halafu tuna bandari ambayo inahudumia mpaka nchi 6 tena bandari tunazo 3 tanga, mtwara na dar bado kila ziwa lina bandari ziwa victoria kuna bandari na hata tanganyika lina bandari, kwa nini haionekani kwenye uchumi?
hapo hapo kuna infrasructure projects kubwa za kujenga sgr na bwawa la Nyerere contribution yake kwenye uchumi wa nchi iko wapi? kwa maana nchi nyingi infrastructure projects huchangia pato la taifa kwa kiasi kikubwa sana, hivyo conclusion yangu ni kwamba tanzagiza kila kitu kinaibiwa i.e sehemu kubwa ya uchumi wetu siyo rasmi, hawalipi kodi ni kama tu kongo drc ambapo rasilimali inachimbwa na kuuzwa nje lkn hakuna records kwenye uchumi wa kongo kwani wanaochukuwa na kuuza hizo rasilimali hawalipi kodi hiyo ndiyo tafsiri yangu ...
Tunajadiliana au unakaza tu fuvu.
Binafsi, naangalia maisha ya watu.
Hizi namba nawaachia mazuzu kama wewe.
Leo, TZ ikitaka tu inaweza kuweka thamani ya sarafu kuwa $1= Tsh 1500 na ikawa na $1Trillion dolalr GDP automatically na wakati huo wewe kiazi hapo bado ni masikini vile vile usiye hata na Bima.
Ndio maana wenye mtindio wa ubongo tu ndio huwa wanakaza fuvu na GDP, GDP per Capita na thamani ya sarafu.
Ni nchi tajiri na hawana makelele kama wakenya, wakijenga hata choo dunia nzima itajuagdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Mimi natetea GDP??lkn ni lazima kuwe na kipimo kinachopima mathematically na siyo hisia, na ndiyo maana nikakuuliza kama unasema gdp per capital haina maana then leta kipimo unachokitumia.
naelewa kwamba gdp per capital kama yalivyo mambo mengi siyo perfect na ndiyo maana kuna human development index ambayo ni more realistic tena wewe mwenyewe ndiyo ulioi-introduce hapa kwenye discussions sasa baada ya kuona hata kwemye human development index bado Botswana na Namibia wako juu na ku-confirm hoja yangu ya wao kuwa na highest per capital income in afrika ukahamia kwenye ppp sasa cha ajabu una question gdp per capital halafu halafu hapo hapi unaamini gdp ppp?
bottom line: kama hauamini hivi vipimo vyote ambapo ni mathematics sasa leta vyako ili pia tuvi-test na siyo ma-feelings, feelings hauwezi kuzipima popote, namba tu weka hapa formula yako ya jinsi ya kukokotoa kipato cha nchi halafu tuone …
Mimi natetea GDP??
Una shida ya uelewa??
The wealth of a nation isn’t in its GDP or even its per capita income. It lies in the ability of it's people to access basic services — affordably or freely: healthcare, education, and housing. True prosperity isn’t about the opulence of a few, but the dignity of the many.
Stop being dumb.
Mimi naona usiangaike ku-debate na watu kama hawa.kipimo kiko wapi? weka kipimo unachotumia kupima hayo ulioyasema, na siyo feelings …
Punguza uongo china ipi ipo juu kimaendeleo kuliko marekani?Wanaposema kina nani?
Kila mtu ni anavyoona.
China iko juu kimaendeleo kuliko USA.
Ila kwakuwa China wameamua kuifanya Yuan iwe na thamani ya chini ili wauze sana bidhaa zao nje ya nchi, GDP yao inaonekana iko chini ya Marekani.
Hakuna mtu timamu anatumia GDP siku hizi.
View: https://x.com/FT/status/2085225054447485017?s=20
Hii ni hoja?Punguza uongo china ipi ipo juu kimaendeleo kuliko marekani?
Acha kujilisha upepo.the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
Sisi tunadidimizwa na mafisadi ya CCM,hivyo taifa linamomonyoka hamna kuweza Tenagdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd