Botswana ndio wamechagua huyu wakamuacha Progressive Masisi?! Majanga matupu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment.


 
chama tawala kinapojisahau kuimalisha elimu bas wananchi wakiwachoka chama tawala wataishia kuchagua wehu ili tu kukitoa chama tawala kilichoferi pia , bado kosa ni la chama tawala kutounda mifumo bora ya ukufunz kujenga watu timamu pia kujenga misingi imara ya kidemokrasia sio tu kuheshimu tume
 
Hotuba ya Putin ina kuhusu sana,

Mnalilia demokrasia kila siku humu, demokrasia ikifanya mambo yake mnaanza Kulalamika tena.
 
Mkuu,

Unajua tamaduni zao?
Hata sisi hapa tulikuwa na tamaduni za kuketa watoto wa kike ili wasiwe na matamanio ya ngono, kuna tamaduni ni za hovyo na kutupiliwa mbali katika dustbin la historia.
 
Mkuu Yoda mimi sijui sana Politics za Botswana unaweza ukatuekezea kwa upana kuhusu huyu Raisi mteule?!
Huyu Rais mteule simjui sana ila Masisi ndio nilikuwa namjua na aliyemtangulia Ian Khama , baada ya Masisi kumrithi Khama ulizuka ugomvi mkubwa baina yao na kukipasua chama chao hadi wakapoteza madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…