Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama tawala kinapojisahau kuimalisha elimu bas wananchi wakiwachoka chama tawala wataishia kuchagua wehu ili tu kukitoa chama tawala kilichoferi pia , bado kosa ni la chama tawala kutounda mifumo bora ya ukufunz kujenga watu timamu pia kujenga misingi imara ya kidemokrasia sio tu kuheshimu tumeDemokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Huoni hata huyo polisi pembeni anaona kinyaaDemokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
Utawaweza CCM... wao akili Yao ni kubaki tu madarakani hawana lingine wanawaza ... Sasa hapo ukimuuliza kosa la jamaa lipi utasikia tu ni mpinzani..hawana sababu yeyote iwaye.Mkuu unajudge kutokana na hiyo picha au ni school mate wako huyo jamaa?
Huyo ni mke wake auDemokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Mkuu,Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Ndiyo ni Mke wake....Huyo ni mke wake au
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Hotuba ya Putin ina kuhusu sana,Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Demokrasia wakati mwingine huwa inaleta vitu vya ajabu sana, ni kama hamna kitu humo kwa huyo Rais mpya wa Botswana, ila ndio hivyo raia wakishachoka huwa wanasema bora wapigie hata jiwe kura kuliko establishment .
View attachment 3147305
View attachment 3147306
Sawa, kuna tamaduni za ovyo.Hata sisi hapa tulikuwa na tamaduni za kuketa watoto wa kike ili wasiwe na matamanio ya ngono, kuna tamaduni ni za hovyo na kutupiliwa mbali katika dustbin la historia.
Huyu Rais mteule simjui sana ila Masisi ndio nilikuwa namjua na aliyemtangulia Ian Khama , baada ya Masisi kumrithi Khama ulizuka ugomvi mkubwa baina yao na kukipasua chama chao hadi wakapoteza madaraka.Mkuu Yoda mimi sijui sana Politics za Botswana unaweza ukatuekezea kwa upana kuhusu huyu Raisi mteule?!
Mpk we ume comment 😄Huyo ni mke wake au
We Jamaa ni takatakaHata sisi hapa tulikuwa na tamaduni za kuketa watoto wa kike ili wasiwe na matamanio ya ngono, kuna tamaduni ni za hovyo na kutupiliwa mbali katika dustbin la historia.