Hapa kuna kitu sielewi,ina maana:Jaman smile hebu jiamin japo kidogo basi,hilo pande kanisakizia bishanga ndio nikamwabia TF ana wake!!
Ndio TF kaniomba nimlindie wewe!!
Soma vizuri utaelwa bana,
Mie Rejao ananitosha wala sitaki mwingine!
Bishanga, ukijaribu ku-sugarcoat ndio unazidi kuharibu. Pia hapa nadhani tunaongea wakati ule wewe huna ham tena na mwenzio, you just want him/her out of your life.easily said than done.....na ogopa maneno ya kutamka in the heat of anger,mwenzio akifanya kweli wakati wewe ilikuwa ni hasira hapo utajibeba.Mimi huwa sifanyi hivyo hata siku moja,never.
Konnie,i am gonna kill you softly !
Mama mia! Sisi huwa hatu stop loving you,huwa tuna subdivide penzi (which kina mama you hate),ndo mana hata baada ya kuachana siku moja moja huwa tunakuja tunachombeza.Bishanga, ukijaribu ku-sugarcoat ndio unazidi kuharibu. Pia hapa nadhani tunaongea wakati ule wewe huna ham tena na mwenzio, you just want him/her out of your life.
Ukiendekeza kuogopa kumuumiza, then later agundue it has been a while since you did not want to continiue, not only yale maumivu ulitaka kuhepuka yatakuwepo, but kutakua na hasira juu. So the sooner the better, and just be honest about the reasons. Hakuna reason nzuri kama: I have stopped loving you.
Mama mia! Sisi huwa hatu stop loving you,huwa tuna subdivide penzi (which kina mama you hate),ndo mana hata baada ya kuachana siku moja moja huwa tunakuja tunachombeza.
mimi naikubli zaidi hiyo ya kimya kimya, mtu anakula kona tu without any piece of information
Kabla hujanikill softly nitakuwa nimeshakukill hardly.
Haya mambo ya kuchombeza ndo maana unashtaki kwa baba paroko kila siku.
Na ntakupiga kipepsi cha kwenye nanga.
Acha vitisho wewe,wanawake wa mjini ndivyo tunavyoishi nao.Usisahau hata baada ya so called 'kuachana' wakiwa nashida huwa tunakwenda front kuokoa jahazi,ushanfaham? hapa siongelei nadharia naongelea hali halisi ya mahusiano hapa bongo (actually ndomana wahenga walisema..'uhawara haufi'.
I will make you love me so hard hata nikirudi baada ya siku tatu utanipokea kwa bashasha...,,"pole mme wangu,za huko? '' na supu ya nguvu utaniandalie,na baadae ukiamua ku check oil utaambulia povu tu....kudadadadadeki.
Hii thread imenigusa,juzi kati nilimdump girlfriend wangu coz niliona sina future nae so nikamchana live kuwa mm na yy its ova....dah akameza panadol 20 ilikuwa so,now nimeamua kumuacha taratibu....
I might be bothered but I won't have other option other than accepting what is being said. I'll just accept the fact that I am ugly and somebody has the guts to tell it to my face.It may or it may not because context is everything.
If someone you love told you that and you don't get bothered (read: hurt) by it then definitely you don't have a heart.
But the point I'm trying to make is, brutal honesty doesn't always help. Tact and diplomacy are always better than just telling it like it is.
I think i'll try that sometimes. . .