Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Hawezi kurudia uchokozi Tena moto anaopelekewa ni hatari sanaaatusubiri
hii vita haikuwa kwa ajili ya urani bali ni mambo ya kisiasa tuItakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu?
Vipi kuhusu regime change!?
Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Amechakazwa na waarabu. Mpuuzi mkubwa!Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Hiyo mkuu unaambiwa jambia humo humoSiamini kama netapusi anaweza kusema chomoa ninyambe
Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?
Vipi kuhusu regime change!?
Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?
Netanyahu alisema amepata intel kuhusu mahali ilipo, hana tena mpango wa kufanya kitu kuhusu hii kitu!? Sio tishio tena kwa usalama wa taifa teule la Israel?
Vipi kuhusu regime change!?
Aaah, Netanyahu ametuangusha sana!!!
Funika kombe mwanaharamu apite!Itakuwaje sasa kuhusu ile uranium ambayo imesharutubishwa kufikia zaidi ya asilimia 60?